but wana toleo wanaliita 'Global ROM'
Model hizi ni universal popote dunia
For information: Nairobi tayar wamefungua Mi-Shop ambapo ina simu latest kabisa
roho mbaya haina mtu aalumu
ukiona msomi wa ngazi uliyotaja ana roho mbaya, elewa kua huyo amesoma kufaulu mtihan wa academics tu, na hakupata maarifa mapana ya elimu aliyoisomea.
yapo matukio ya mtu wa ngazi ya chini kielimu na kihadhi, anamshinda ustaarabu/kujali/kujitambua zaid kuliko aliesoma.
ukarimu ni maumbile, ukimpa wepes ndugu yako mwenye shida, roho yako inakua nyepesi na kufarijika
dawa ya moto ni maji na sio moto
dawa ya kufanyiwa roho mbaya, ni kutenda ihsani na kukunjua nafsi, wadada someni kdg kdg mutafika
comments za Wamama na wadada kunasibishwa Uroho mbaya ni kashfa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.