Search results

  1. kamleez gerald

    Uzi wa kupeana ramani za machimbo ya dhahabu yaliyolipuka/yanayolipuka na fursa zinazopatikana porini/chimboni

    Machimbo yako mengi na yana dhahabu yenye ubora mzuri tu.... Tuendelee kupiga pesa taratibu.
  2. kamleez gerald

    Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

    Issa bin marium (yesu) Ni alfa na omega ..Mungu wa miungu,njia ya uzima na kweli...Mhukumu wa walimwengu...yeyote amwaminiye hata potea bali atapata uzima wa milele.
  3. kamleez gerald

    Msamiati wa Kiswahili "kulazwa" kwa lugha ya Kiingereza

    Kulazwa ="Hospitalised" Kulazwa katika hospitali ya muhimbili=hospitalised at muhimbili hospital
  4. kamleez gerald

    NAOMBA USHAURI: Nataka niagize mayai na vifaranga wa Mbuni mtandaoni

    Tanzania hairuhusu uingizwaji wa mayai au vifaranga kutoka nje isipokuwa kwa kibali maalumu..HYO KITU N KAMA SUKARI MZEE.
  5. kamleez gerald

    Zipi taratibu za kufuata kisheria katika kumiliki kiwanja, shamba na nyumba

    FIKA KWA MWANASHERIA(ADVOCATE). MUELEZEE NA TARATIBU ZOTE ATAKUPA Kamwe usije nunua eneo kwa kuandikishana kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa au Kijiji au mtendaji. UTATAPELIWA, hawa watu hawana mamlaka katika hilo.
  6. kamleez gerald

    Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    Picha inayoongea zaidi kuliko fkra na ushawishi wako.
  7. kamleez gerald

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Binafsi inaniuma sana..namkumbuka jpm..naona kabsa tunarudi tuliko toka
  8. kamleez gerald

    Kwanini Dkt. Bashiru aseme anathibitisha kwamba, asiseme anaapa kwamba?

    Kawaida katika kiapo mkristo ANAAPA na mwislamu ANATHIBITISHA... Hii ni mwamujibu wa sheria ya viapo na matamko ya kisheria RE.2019. Kwahiyo kama Bashiru ni muislam ni SAHIHI yeye kuthibitisha na si kuapa.
  9. kamleez gerald

    Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Mpaka alfajili hii MUSEVEN anaongoza kwa over 61% dhidi ya BOB WINE. Ambaye ana 27% ya kula zote...
  10. kamleez gerald

    Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Nimapema sana kutabri ushindi..wapiga kula wengi wapo vijijini..na watu wa vijijini kama unavyo wajua..siku zote hubadili matokeo kuwa mazuri au mabaya.
  11. kamleez gerald

    Raha, Tamu na chungu ya VPN

    Wasubri matokeo ndo walalamike
  12. kamleez gerald

    Tumieni VPN kama internet iko slow sana

    Give it a try binafsi sjajalibu kwa mfumo huo..simu yangu ni android
  13. kamleez gerald

    Tumieni VPN kama internet iko slow sana

    Kama hauna access na What's app, youtube,facebook etc fanya yafuatayo. 1.Download EASY VPN APK unlimited kutoka google search au store yoyote ile mfano APK pure 2. Ukifungua file utaiona inalangi ya kijani na icon ya tembo. 3Ili uwezekuinatal itakulazim kuruhusu application from other sources...
  14. kamleez gerald

    Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

    Zitto Kabwe pekeake jimbo la kikoma mjini(2015) (Anaweza bakiza hili na asisimike wagombea wengine bara) Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kamleez gerald

    Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

    ZITO ZUBERI KABWE kwangu mimi ni mwanasiasa Mwenye akili nyingi zilizo kosa uzalendo na badala yake zikajawa na tamaa na upotoshaji. Nimekua nikifuatilia siasa za Zitto toka akiwa CHADEMA mpaka sasa ..leo hii nitatoa UTABIRI WANGU wa KIMAWAZO juu ya alichokipanga kukifanya katika siasa za mwaka...
  16. kamleez gerald

    Ni kiasi gani cha pesa ulishawahi kuhonga mpaka ukikumbuka unajiona bonge la mjinga yaani

    Tatizo sio kutoa tatzo ni kwanini unatoa. Ukwasi sio sababu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom