Nilikua nazungumzia huu!! Nime Upata Kwa Mtu!!
https://soundcloud.com/nurbert-elias-pola/tid-tuwalinde-ukimwi-umeenea
Sent using Jamii Forums mobile app
Press Windows + R then type dxdiag then enter, nenda kwenye tab ya Display hapo itakupa taarifa zote kuhusu kadi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni Video Editing Jitahidi Utafute Pc yenye Processor Kubwa kama Core i5 au 7, Card iwe nvidia atleast GeForce 720 kuendelea kulingana na utavyopangilia Budget yako
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Hyo kwa Kifupi inaitwa FRP ina njia nyingi za kutoa... na hyo simu yako hukuflash ila uli reset... maana simu za mtk na spd ukiflash huwa inatoka pia... lakini samsung hata uflash kwa odin inabaki... muhimu sema simu yako ni vodafone ipi maana zngine ni spd na zingine ni mtk... tutajie model...
yap lakini huwa tuna unlock kwa box.. na ni rahisi tuu...sina uhakika na hyo crack yamiracle box... maana nmewah tumiaikawa inafanya kazi zote isipokuwa unloacking... so jaribu kama itakubali... ikishindwa nenda kwa fundi aliye karibu nawe
hii dawa yake ni kutafuta rom nyingine kama rom kibao zmegoma bas ujue hyo inaweza kuwa haifanani nA zingine... ndo maana unashauriwa ku backup bin au scater kabla hujaflash
Popcorn time itakufaa sana
ipo ya Pc na Ya Androids Chaguo ni lako
ya Androids Hapa download popcorn time free (android)
na Ya Windows pata Hapa Popcorn Time - Watch movies and TV shows instantly!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.