Search results

  1. Father of All

    Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

    Yep. Kumbuka baada ya Slowslow aliingizwa Chaka akachaa haraka kabla ya kuja Mgema akagema na kumwachia Bashite baada ya kushitiwa na aliyemuumba
  2. Father of All

    Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

    Umemsahau Shaka Hamdu Shaka Kichaka
  3. Father of All

    Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

    Ni cheo kidogo akiondolewa hapo anapewa ukuu wa wilaya. Jiulize Shaka yuko wapi
  4. Father of All

    Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

    Ni kidogo kwani akiondolewa anateuliwa mkuu wa wilaya
  5. Father of All

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Ni kweli kama tuna rais anayependa udaktari wa dezo unategemea nini? Angalia waliomzunguka akina Mwigulu na Daffo na PhDs zao za kutia shaka. Ni balaa hasa mwanangu
  6. Father of All

    Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

    Unaijua Dar au unaota mwanangu. Dar kitu ingine mwanangu
  7. Father of All

    Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Ujinga mwingine bwana. Mungu huyo wa Israel ameshindwa kuilinda dhidi ya Hamas unataka alinde pande kubwa la ardhi kama Afrika? Umetumia mantiki gani mwanangu Bujibuji au umebubujikwa?
  8. Father of All

    Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Taarifa ziko mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa rais Samia Suluhu Hassan ameipa Zambia ardhi eneo la Kwala kujenga bandari kavu. Ajabu, wakati sheria ya Tanzania iko wazi kuwa asiye mtanzania haruhusiwi kumilki ardhi, rais anagawa ardhi kwa wageni. Je huku si kuvunja sheria? Je huu si...
  9. Father of All

    Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Sijui ametumia akilii gani. Atagawaje ardhi yetu kwa nchi yenye ardhi utadhani mali yake binafsi. Rais hana ardhi bali ni msimamizi tu. Kumbe ndiyo maana anagawa bandari zetu! Kama Zambia wanafanya biashara walipaswa kununua siyo kuzawadiwa. Inakuwaje wageni wamilki ardhi wakati wana diaspora...
  10. Father of All

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Hata masta ya maza ni ya mazabe. Itafute uone ilivyo paper iliyoandikwa na watu zaidi ya mmoja. Hayuko peke yake. Angalia andiko la master's ya mama yenu muamue in case lile nililobandika independently likauawa https://core.ac.uk/download/pdf/71365931.pdf
  11. Father of All

    Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Acha upumbavu na kukata tamaa. Unamsemea nani tokana na ujinga na uvivu wako. Wengi wangapi na kwa utafiti au testimonies zipi mwanangu?
  12. Father of All

    Tasnifu ya Shahada ya Umahiri ya Rais Samia inaonesha kufanyiwa na zaidi ya mtu mmoja

    usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike bila stahiki. Leo nawaleteeni masters ya mkuu wa kaya muamue wenyewe kama ni somi au kihiyo. Pamoja na...
  13. Father of All

    Kweli ni ipi hapa kuhusu hekalu alilojenga Suleiman?

    H. kuna kitu kama hicyo. Ni hadithi za kutunga ambazo zimekuwa zikilindwa kwa uongo na vitisho
  14. Father of All

    Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

    Watayumba chawa siyo nchi. Unataka iyumbe mara ngapi mwanangu?
  15. Father of All

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Wataukemeaje wakati nao ni vihiyo wanaoonea fahari shahada za heshima?
  16. Father of All

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Uprofesa wa heshima upo lakini huu wa huyu tapelii ni kitu kingine. Ukimchunguza utakuta hata hana digrii ya kwanza.
  17. Father of All

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Huyu kihiyo asiye na hata udaktari stahiki amewahonga nini wajingaaa wanjingaaa hawa? Tanzania namna hii hatutaendelea
Back
Top Bottom