Search results

  1. Mirhea

    Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

    Wee katoe bidhaa zako barabarani bhana acha kutishia watu.
  2. Mirhea

    Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Arusha huu utaratibu utaanza lini. Maana ni kero.
  3. Mirhea

    Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

    Ni kwa sababu hakuna kitu mnaweza kuwafanya.
  4. Mirhea

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Hivi ndivyo tozo zitakavyo tafunwa yaani.
  5. Mirhea

    #COVID19 Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Unajidai una upendo sana na raia. Wee kale chanjo ambaye hataki achana nae. Yaani watu wale wale waliotuaminisha haifai sasa hivi mnatuambia inafaa halafu mnataka tuawaamini tuu hivyo.
  6. Mirhea

    Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Kwa mawazo hayo kijana kama huyo hawezi kuwa na saving account wala wazo la kufungua biashara yake. Ataishia kuajiriwa na kutegemea mshahara peke yake. So sad..
  7. Mirhea

    T.G.I.F ....!!!

    Wee mtu haujachaga pombe tuu.
  8. Mirhea

    Nilipanga kusave laki 2, hatimaye nimesave laki 4 kwa mwezi. Nimefanikiwa kutumia Tsh 374,200/= kwa siku 28, ninaishi Geto.

    Imenishangaza watu wanaojisifia kufuja pesa kwa jina la kula bata. Hawa ndio wale wakitimuliwa kazi wanajinyonga au wanakuwa mashoga.
  9. Mirhea

    Maisha ni kama ua yana chanua na kunyauka.

    Kwa hiyo Sky una shauri tufyatue tuu.
  10. Mirhea

    BoT: Mikoa ya Kagera na Kigoma ndiyo inayoogoza kwa kuwa na noti chafu na chakavu

    Nini hiki?!! Bila shaka umeandika wakati upo toilet. Malizia kwanza kushusha mzigo uje uendelee.
  11. Mirhea

    TRA yadai kodi ya milioni 500 Kili Marathoni

    Kama vipi waliamishie hili shindano kule kyato.
  12. Mirhea

    Nashauri Walimu wa Tanzania kuanzia Kesho wawe wanakuwa hivi wawapo Madarasani huko Mashuleni Kwao

    Nawashangaa tuu watu wanaolumbana na huyu chizi aliyelogwa.
  13. Mirhea

    Mji mzito huu

    Mi huwa sielewi kabisa ile jingo yao ya tunakufungulia dunia "kuwa unachotaka".
  14. Mirhea

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Too bad wanadiscourage Ruge kuchangiwa hela ya matibabu ndio hao hao walikuwa wanatukana Bunge na Jiwe kuhusu kuzuia wabunge wa ccm kumchangia Mh Tundu Lissu. Acheni unafiki na mawazo ya kimaskini kwamba mwenye uwezo hawezi hitaji msaada.
  15. Mirhea

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Duu watz wana roho za ajabu sana. Kama hautaki kugezwa kuwa fursa waache wanaotaka kuchangia wachangie kwa amani.
  16. Mirhea

    Law 1: Never outshine your master

    TL is mazafaqa and u a the son of a bich so dont be too obssesed with him he could be ur dad u kno.
  17. Mirhea

    Clouds FM na Mapenzi mubashara hadi kero sasa

    Redio ya matangazo. Kipindi cha masaa 3 masaa mawili na robo matangazo izo dk zilizosalia ndio wanazugia kipindi.
Back
Top Bottom