Search results

  1. J

    Je, wajua binti wa miaka 25 leo anaweza kuwa ametembea na wanaume zaidi ya 20 kwenye mahusiano yake mpaka sasa?

    Duh samahani sana lakini ulicholeta hapa sio facts bali rumour na assumption za mitaani. Ukitaka tukubali kuwa ulicholeta hapa kuwa ni facts basi itabidi uweke data zako hapo juu ya research/uchunguzi wako Kuanzia vijana wangapi walishiriki katika research yako, umri wao, jinsia zao, maeneo...
  2. J

    Dreamweaver cs6 key

    Habari zenu wote hapa. Natafuta dreamweaver cs6 activation key, kwa hiyo naomba kama kuna yeyote yule ANAEWEZA kunipatia anisaidie. asante sana
  3. J

    Ni manufaa gani yanayoletwa na big brother?

    Bara la Afrika lina janga kubwa linalolitesa kwa miaka mingi mno nalo ni la ugonjwa wa ukimwi. sina haja kabisa ya kusema ni chanzo kipi kinachochangia kuenea kwa gonjwa hili baya kwani kila muafrika sio tu anajua bali kwa njia moja au nyengine ameguswa na gonjwa hili. Kinachonitatiza mimi ni...
  4. J

    EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Habari za leo wanajamii? Nina masuali mawili yanayohusu rasimu ya katiba ya Tanzania nayo ni: 1. Jee kuna tovuti (website) ambayo kamati husika imeweka rasimu hiyo ili wananchi waweze kusoma? kama ipo, naomba kujua anuani ya tovuti hiyo. 2. Mbali ya suali la serikali tatu ambalo ndio...
  5. J

    Msaada: Bei za viwanja Zanzibar -mkoa wa mjini magharibi

    Asante mkuu, ila ningelipenda kukuuliza huko fuoni viwanja ni vile vilivyopimwa au vya kuuziana kiholela holela na wenye mashamba yao?
  6. J

    Msaada: Bei za viwanja Zanzibar -mkoa wa mjini magharibi

    habari zenu wanaukumbi. Nilikuwa nataka kujua kama kuna yeyote kwenye ukumbi huu anaejua average ya bei za viwanja vya nyumba kiziwani Zanzibar katika mkoa wa mjini magharibi pamoja na taratibu za kununua kiwanja zanzibar anielimishe. asanteni
  7. J

    Pendo la kwanza?

    Habari za week end wana JF? Naomba kuuliza wana jamii hususan wa kike jee ya wapenzi wao wa mwanzo. Kuna rafiki yangu ana mke na wameoana kwa miaka 6 bila ya matatizo yeyote yale. Ila mwezi uliopita katika tembea tembea zao walikutana na mtu ambae alikuwa mpenzi wa kwanza wa mkewe na ambao...
  8. J

    Kwa malaya bila kinga

    Usiwe na wasi wasi kabisa kama ulipofika nyumbani uligoka basi mambo ni poa. Unakumbuka rais wa afrika kusini alisema hivyo baada ya kutembea na mwanamke mwenye ukimwi. Joke aside how old are you? Yaani kwa mwafrika kuwa mbumbumbu wa namna hii ni ajabu sana. kila kukicha suali hili...
  9. J

    Nisaidieni nifanye biashara gani? Nina mtaji wa 3,000,000/=, nipo Himo-Moshi

    Nielimishe kidogo, 1. unataka kuniambia kuwa boda boda inaingiza si chini ya 10,000 kwa siku? 2. Mbona katika hesabu zako hukuweka malipo ya dereva wako? 3. Gharama za petroli/diessel ziko wapi? 4. Naona hukuainisha ni muda gani itachukuwa kuwa even na gharama za kuanzisha biashara yote? 5...
  10. J

    Kweli wachina wametushika pabaya, Kumbe Star times hawalipi kodi

    kwa nini umesema wachina tu ilhali inajulikana wazi kuwa hii project ni Joint Venture baina ya China na Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)? sasa kama TBC wenyewe hawalipi kodi kwa nini wachina walipe? Kabla ya kulaumu wengine kwanza tujirekebishe wenyewe!!!!
  11. J

    Biashara ya internet

    Habari za siku nyingi wana jamii. Naomba ushauri na mawazo yenu kuhusu mada hiyo hapo juu. Jamaa wangu wa karibu aliyopo nyumbani Tanzania amewasiliana nami juu ya idea ya kuazisha internet cafe nyumbani na amenitaka ni invest katika mradi huo. Suali la uaminifu juu ya jamaa huyu ni zaidi ya...
  12. J

    Kama mzazi hili limeniuma sana!

    kama kweli wewe ni mzazi na kama kweli hili jambo limetokea basi sio kweli kuwa limekuuma hata kidogo, maana kama limekuuma kweli maumivu ya mzazi basi ungelikwenda moja kwa moja polisi kuripoti ulichosikia. Infact ungelimburuza na huyo rafiki yako pia. Hata kama polisi na wahusika wengine...
  13. J

    mwanaume akiwa ametoka kudo na nje ya mahisuano utamjuaje?

    kwani akitoka kuo ndani ya mahusiano unamjuaje? Infact hili neno mahusiano umelitumiaje hasa hapa? mtu akiwa na nyumba ndogo hayo ndio mahusiano baina yake na mwanamke wa nyumba ndogo, akitoka kwa changu doa hayo ndio mahusiano yake mteja na mfanya biashara, yote ni mahusiano!!!!!!!
  14. J

    Tetesi za kigogo ccm na mtanzania mwenzake aibu nzito

    baada ya kusoma between the line maelezo ya linda nimepata hisia kuwa hawa wawili walicheza ule kamchezo pamoja huko nyuma. Kila sentensi yake unayoisoma unajikuta unajiuliza masuali si chini ya mawili. Pia response ya loveness inaashiria tena kuwa anajaribu ku defuse the situation kwa kutosema...
  15. J

    Ilikuwa nini hatima ya jamaa huyu?

    Hivi unauliza kiutani au umeshindwa kuelewa kilichoulizwa? suali ni la maana kwa kiasi fulani maana mbali ya kuwa alimdhalilisha rais wa nchi lakini pia serikali ilipoteza pesa chungu nzima kumsaka jamaa huyu.
  16. J

    Ilikuwa nini hatima ya jamaa huyu?

    Inawezekana kabisa maana ni mtoto wa kigogo na huenda hata Tz hayupo amesharudi UK alikokuwa akiishi
  17. J

    Ilikuwa nini hatima ya jamaa huyu?

    Duh ndugu umekumbusha la maana kweli, maana nakumbuka hadi askari wa interpol walihusishwa na serikali ilitumia pesa za kweli kumgundua alipo na kumsafirisha hadi Tanzania. Ni ajabu kuwa baada ya hapo imekuwa kimya!!!!!!
  18. J

    Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu.

    Kata govi upate hisia!!!!
  19. J

    Diamond kaiba wimbo?

    Ahsante nimekuelewa sana.
  20. J

    Diamond kaiba wimbo?

    Kwa namna tanzania ilivyojaa watu wenye mentality kama yako, tanzania ni kweli tambarare!!!! Mentality za watu kama wewe ndio maana kila leo watu wanaiba serikalini na kujijengea majumba ya mafahari kila pembe ya tanzania, wanapeleka watoto wao kusoma ng'ambo, wanakula bata kila leo wakati...
Back
Top Bottom