Search results

  1. Motty

    Nape Nnauye: Tumehujumiwa..

    Kwanza nataka kutofautiana na Nape kwamba Igunga walishinda, ukweli ni kwamba Chadema ndio ilioshinda Igunga walichofanya ni wizi mtupu sasa mbinu zote zimejulikana na zimewekwa wazi na kuanzia sasa watalala doro kila uchaguzi watu wamechoka
  2. Motty

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Watanzania wanapaswa kuichukia ccm kwa kila hali maana wamethibitisha kwamba ni chama ambacho hakina maadili wala sera ndio maana wanapandisha jukwaani vichaa kututukana. Matusi ya Lusinde ni matusi ambayo yanapaswa kukataliwa na kila Mtanzania mwenye akili timamu. Binafsi nimekuwa nikijiuliza...
  3. Motty

    Wafuatao waje wafanyiwe maombi please.

    Wanahitaji kujiombea kwanza kabla ya kuombewa
  4. Motty

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hao returning officers wanatembea kwa miguu mbona hawafiki makao makuu hadi sasa? Nadhani hata tukiwapa ccm hivyo vituo vinne vyote bado ushindi upo
  5. Motty

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hakuna kulala mbaka kieleweke leo, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
  6. Motty

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Chadema tupo pamoja na 2015 safari ya ukombozi utakamilika rasmi, Viva Chadema!
Back
Top Bottom