Search results

  1. Analogia Malenga

    Bunge live sauti iko chini, je hamtaki tusikie kwa uzuri?

    Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia vyema ila ukiweka bunge hata sauti ikiwa 100 lazima mtu asichezesha hata miguu ili kusikia vyema. Je...
  2. Analogia Malenga

    Kwa mnaokuja Dar hakikisheni mnaweza kuogelea au ni wanamazoezi

    Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana. Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea. Kama upo Dar na haujui kuogelea nitafute.
  3. Analogia Malenga

    Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

    nadhani ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa
  4. Analogia Malenga

    Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

    Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari? 3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...
  5. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Ndio kawaida huku, mara nyingine tunaonekana tunaringa kumbe watu tunaona majukumu yaliyopo yanatosha
  6. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Ukiona kikao hakifanyiki bila wewe, jua wewe ukoo ni wako, unaangaliwa wewe kwa kila kitu, ni nzuri na ni mbaya
  7. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nyie watoto wa mwisho mnaruhusiwa kuwa na mideko
  8. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Unapigiwa simu na mzee wako anakuambia kuna mdogo wako nimempa namba yako anakuja huko. Unapigiwa simu mtu kashafika mjini anakusubiri kwa Magufuli, mzee wako anakuambia, sasa shangazi yako anaumwa, huyo mtoto ni mwanaye haukuwahi kumuona kwa kuwa alikuwa kwa ndugu yake wa kijijini, ila kwa kuwa...
  9. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Majukumu ni ngumu kuyaacha, ila nawaza namna ya kubadili utaratibu. Yaani mtoto wa kwanza unapewa majukumu mazito, wakati mwingine uko mtoto unaambiwe, "wewe ndio mkubwa", "Una wadogo zako" haya yote ni kukufanya uone tayari uko uwanjani. Ukishaingia uwanjani ndio kimbembe kabisa, hadi mtoto wa...
  10. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  11. Analogia Malenga

    Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

    Kwenye gari napenda mtoto akae kihasarahasara, nadrive huku nagusagusa maeneo! Aaah! maisha hayahitaji userious
Back
Top Bottom