Mwita Maranya: Vipi yule John Heche Suguta ambaye kwa sasa anaitwa Manchare Suguta (Mwanasheria wa NEMC)? Alijiunga na JWTZ mwaka 2002 mwezi March tarehe 4 kwa mafunzo ya kijeshi nikiwa na maana kwamba alikuwa askari kamili mnamo tarehe 30.08.2002 baada ya kuhitimu mafunzo hayo na kula kiapo...
Mwita Maranya: Vipi yule John Heche Suguta ambaye kwa sasa anaitwa Manchare Suguta (Mwanasheria wa NEMC)? Alijiunga na JWTZ mwaka 2002 mwezi March tarehe 4 kwa mafunzo ya kijeshi nikiwa na maana kwamba alikuwa askari kamili mnamo tarehe 30.08.2012 baada ya kuhitimu mafunzo hayo na kula kiapo cha...
Huku akijua kabisa kuwa idadi ya wabunge walioitikia hoja ya mheshimiwa wenje ya kutaka gharama za malipo ya muda wa hewani kubaki kama awali ilikuwa kubwa, mama Makinda alidai kuwa idadi ya wabunge walioitikia ndiyoooo kukubaliana na ongezeko hilo walikuwa wengi. Hali hii ilijidhihilisha hapo...
unabahati nimemaliza ban juzi tu la sivyo ningekupa kitu mpaka ufurahi. pamoja na yote acha kutumia m....buri kuelezea hili. sisi ndo tunaoumia kuliko mtu yeyote.
Ndugu yangu Nchemba wewe umechangia sana CCM kufa. Kwa sasa chama chetu CCM kinaonekana mavi mbele ya wananchi na hapa Arumeru ndo tunaaibika zaidi. Jiandae kwa kashifa ya wizi wa mamilioni ulioufanya wewe na rafiki yako mnayejuana sana. Unajiona kuwa tegemeo sana kwa chama chetu kumbe ni mngese...
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini kumekuwa na ucheleweshaji wa namna hii? MKURUNGENZI anajua kama watumishi wamekata tamaa ya maisha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.