Search results

  1. williams king

    Mbowe na tafakuri zake...

    Ukweli ni kwamba watu wafanye kazi wajadili mambo ya maana siasa ndiyo imewaingiza wengi kwenye shimo na janga la umasikini kwa sababu wanaamini wanacho ubiriwa kumbe ni uongo, wachache wana faidika sasa kama huu wimbo umewaingia basi ''we are done'' wengi humu ni watu wakuongea mambo...
  2. williams king

    Mbowe na tafakuri zake...

    Mbowe ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wanaoweza au kujitolea kwa umma kusaidia kile anacho weza kutoa wa umma, sijui kwanini iwe Mbowe mimi ni KADA mzuri wa chama tawala lakini ikizidi basi tunageuza shingo kuangalia upande wa pili, upinzani ndiyo uliyo fikisha serekali ya awamu...
  3. williams king

    Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

    Ushuri huu umetoka kwa watanzania waishio marekani kumuomba REV.MTIKILA kujiunga humu JAMBOFORUMS ili kuchangia mawazo waTZ wasomi waishio nje zanchi. Ombi hili tunaomba watanzania waliopo nyumbani basi kuhabarisha kwa mchango wake ni muhimu sana kwa taifa letu mchungaji amekuwa...
  4. williams king

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    habari kutoka kwa mpiga picha wa muungwana Mweshimia Magufuli aliambiwa na muungwana kuja Air port kumuaga ili aonekane amerudi na yuko hai huyu bwana ajapona vizuri lazima aende muhimbili kwa check up zaidi, madiwani wamuache apumzike kidogo.
  5. williams king

    Utekelezaji wa kutangaza mali za viongozi wa umma

    Mimi nina waunga mkono wote waliotangulia hii topick itawaleta watanzania wote hapa jamboforums, wakiwemo viongozi, wafanyabiashara , wanafunzi shule mbalimbali na wa vyuo vikuu , iliwajuwe viongozi wao wanafanya nini na pesa yao, wanavyoishi vizuri wakati wananchi wanakufa hata dawa...
  6. williams king

    Utekelezaji wa kutangaza mali za viongozi wa umma

    kweli nimeamini wanaJF wanauchungu na mali zao na pesa zao za kodi kweli muda umefika kuwaanika viongozi wetu hawakujua kama kuna kitu kama hichi utandawazi na tukiwaandika tu basi wengine wata kufa na stroke hili nina waambia nikweli na mtasikia wakati wakila rushwa na kupeleka watoto wao...
  7. williams king

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Sina mengi yakuogea hapa Bw.kiona mbali unatumiwa na manji kumchafua Mengi simnajua huyu muheshimia aliomba asiletwe kwenye mahakama ya JF sasa mnamleta ya nini huku, mwacheni mengi kumwandika huku kwa mabaya andikeni na mazuri basi muheshimiwa Mengi jibu mashambulizi sasa.......
  8. williams king

    Hotuba za Rais kila mwezi

    MWANASIASA JK -JANUARY MAKAMBA ARUDI SHULE ''FIELD'' IMEISHA ONE YEAR Ndiyo sababu hotuba zote mwaka mmoja zimekuwa mbaya ''alikuwa field'' Kapoteza marafiki ana wakumsaidia Boss wake amemchoka Ni kati ya wanao msifia JK CCM-mtandao ilikuwa kwenye kampeni ya muh. huyu nchi...
  9. williams king

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Mimi ninampenda sana JK kwa sababu zangu mwenyewe ninakumbuka zamani ukiwa na rafiki anaitwa Juma au Shabani KWA UPANDE WA PILI rafiki John au Manka basi inaonekana nikitu cha ajabu sana sijui kwanini, mnisaisidie unajua hawa ndugu zetu walisha onekana hawawezi, Shule nyingi nzuri...
  10. williams king

    Hotuba za Rais kila mwezi

    http://www.cnbc.com/id/15840232?video=83360178 jamani mwenye ya bure bila kulipia mzee jeikei vipi fanya vituvyako basi asante
  11. williams king

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Salamu wanaforum mimi ninaomba kujua na mnieleweshe nimengalia na kusikiliza mahojinano ya JK ''CNBC TV'' kwa muda wa dakika sita, mwenye hiyo VIDEO aiweke hewani basi tuirudie ,katika soko la hisa la NASDAQ STOCK EXCHANGE nchini marekani ''USA'' watanzania wengi waliyoiona walisema...
  12. williams king

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Salamu wanaforum tumsaidie rais wetu JK kuvivaa viatu vya Mkapa kwa kuwataja wanao muhujumu katika serikali yake ya awamu ya nne, Tunaamini anaweza wala asikate tamaa tukonaye PAMOJA tuwataje katika forum hii wanao mwaribia wapo na tunawajua jamani wana forum changa moto hiyo...
  13. williams king

    The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

    Vigogo' Chadema wamwaga misaada KKKT Na Ally Sonda MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho, Grace Kiwelu wametoa msaada wa Sh 4,200,000 ili kusaidia miradi ya ujenzi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  14. williams king

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    habari za leo wanaforum sasa katika hii THREAD tujaribu kumshauri Rais wetu MUH. JAKAYA M.KIKWETE, tuongelee yale ambayo hawezi kuyaona kwa sababu bunge liko hoi, yanafanywa na watendaji wake,ataasipochukua hatua ,basi naye ajuwe kwamba tumefahamu mchezo wa wanasiasa wa tanzania wanavyo...
  15. williams king

    Mengi alia na walioficha Mabilioni Ughaibuni!

    Zanaki Mimi ninakuunga mkono nisawa kabisa unavyo sema rushwa utasikia za walala hoi wakipongezana na kufurahiya shida zao ambayo nijambo la kawaida katika maisha ya mtanzania wakawaida. itakuwa vigumu kwa inchi masiki ni kama hii kumaliza rushwa kwa watu wadogo kama marekani , USA rushwa...
  16. williams king

    Mengi alia na walioficha Mabilioni Ughaibuni!

    LORDTICAL JNR Mimi nakubaliana na wewe japokuwa tunaonge yale mabaya tu kwenye forum hii jamani tuongee pia mazuri aliye yafanya MUH.Mengi mimi ukiniuliza list ya matajiri wa tanzania Mengi yumo ndani . labda niseme kitukimoja Mengi hali mwenye kwa kile anachokipata anatoa misaada sana...
  17. williams king

    Mengi alia na walioficha Mabilioni Ughaibuni!

    DRWHO Mimi ninadhani wewe unakuwa muoga wewe uko nchi gani? kwanini una sita sita bro. kilakitu tunacho weka huku kiko kwenye gazeti sisi kazi yetu ni kunukuu na kuchunguza kama nikweli na tunauliza humu kwenye forum je nikweli? huyu mtu kafanya au vipi. sasa wewe hakuna kitu chochote...
  18. williams king

    Mengi alia na walioficha Mabilioni Ughaibuni!

    CHINGA Nimekusikia mtoa hoja CHINGA hii forum sasa mimi ninakuakikishia hakuna hanaye jua hii forum niya nani,labda niwaeleze hii forum Mengi hawezi kuifunga hii forum niya WANAMTANDAO wako nje ya nchi wala Mengi hawajui naimeanzishwa makusudi kuwafichuwa ,WAUZA UNGA ,MAJAMBAZI...
  19. williams king

    Mengi alia na walioficha Mabilioni Ughaibuni!

    DRWHO Tumekusikia mtoa hoja kuhusu topick za Muh.Mengi kuwa katika forum hii ni wananchi wanatoa maoni yao kwa kila mtu wanaye mzania kuwa ni tunda la taifa hili,sioni kama kuna kosa muh. huyo kuandikwa humu. Ninatumaini kwamba kama umefanya vizuri katika maisha yako basi watu wata...
Back
Top Bottom