Search results

  1. S

    Watalamu wa madishi

    Nashukuru mkuu nilikuwa na wasiwasi kwani tetesi zimezagaa kuwa receiver zetu hazitatumika tena nawakilisha.
  2. S

    Watalamu wa madishi

    Na je tutatumia receiver zetu za kawaida eg mediacom au itatulazimu kununua ving'amuzi
  3. S

    Watalamu wa madishi

    Jamani hivi sisi wenye madishi kuanzia mwakani tukiingia rasimi kwenye mfumo wa digitali madishi yetu hayatafanya kazi naombeni majibu wadau.
  4. S

    Ni tabia mbaya

    Ni tabia mbaya kuangalia picha za ngono
  5. S

    Watalamu wa madishi

    Nashukuru m2 wangu nimefanikiwa
  6. S

    Watalamu wa madishi

    Naomba mnisaidie frequence za chanel zinazopatikana kwenye intersat 906(64e) ukiacha hizi za kibongo nisaidieni jamani
  7. S

    Polisi waua raia Urambo

    Tuache sheria ichukue mkondo wake
  8. S

    Polisi waliomuua Mgalula kufikishwa Mahakamani.

    Askari hao wachunguzwe ikibainika ni kweli wachukuliwe hatua
  9. S

    Naomba msaada namna ya kuchakachua vodafone

    Samaani wadau maelezo yangu hayakujitosheleza nilikuwa naamaanisha simu za voda na sio modem
  10. S

    Naomba msaada namna ya kuchakachua vodafone

    Nisaidieni ili niweze kutumia laini zingine nimechoka na internet ya voda ni wezi watupu natanguliza shukurani za dhati.
  11. S

    Naomba mnisaidie jinsi kubadilisha dc(direct current) to ac(altanative current)

    Nataka nipate ujuzi wa kutengeneza inverter hivyo bas nisaidieni kubadili dc to ac najua watalamu mpo
Back
Top Bottom