Mkuu bado uko chini ki analysis: Huyu wa pili wewe huoni kuwa alikuwa na desa? alijitahidi kuiga mambo ya mwenzake lakini kwa sababu hakuwa na ownership yakamshinda. Imani zao kwanza zilikuwa tofauti mwingine akiamini tunaweza mwingine akiamini mpaka tuwezeshwe. mwingine akithamini hela zake...
waziri mzembe na yule ambaye anajijua ni fisadi nawaonea huruma sana sio kwamba magufuliu atawashughulikia la hasha maana Magufuli naye ni kama watangulizi wake, mliyoyaona mwezi ulopita hayatafika mwaka wa tano. Ila vichapo watapata toka kwa wabunge wa upinzani ambao wamejipanga vizuri sana...
Watanzania ndivyo tulivyo hatuangalii mambo kiundani sana. Magufuli anachofanya sasa hivi anaweka network yake ya ulaji kwa kuwatoa watu wasio wake sehemu zote nyeti. Huwezi kwenda pahala popote leo ukakosa makosa hayo huwa yapo hata ofisi ya mtendaji wa kijiji. Ila focus yetu kwa sasa ni...
Toka lini ukawa muumini wa ukawa. Subiri atende, JK alituambia katika hotuba yake kuwa serikali yake haitakubari kuchanganya siasa na biashara na watu wachague moja tu. Tulifurahi na kusema Nyerere kazaliwa upya, matokeo yake hilo jambo liliongezeka kwa kasi sana hata wabunge ambao walikuwa...
Akili yako ndo imeishia hapo, "mteja mfalme" kale usilipe uone kichapo utakachopokea. Kuna mtumishi anapata mshahara mkubwa kuliko boss wake? Kuna mtumishi anatembea na walinzi boss hana hata mgambo, kuna mtumishi anatembea na msafara boss anachapa lapa, kuna mtumishi anamwamlisha boss wake cha...
Du kumbe tuko wengi, hata mimi nimewaza sana. Ni hasara kubwa sana imesababishwa na uamuzi huo. Waginjwa wamekosa madaktari mahospitali, Safari nyingi zimeahirishwa, ulipiajio wa storage za nmagari TRA, Mabeni kufungwa wakati watu hawakujua kuwa wajiandae mapema, wafanyakazi wote wamelipwa siku...
hahaha hizi frustrations za maisha bwana, kuna mwingine alikuja anatukana kwamba watu wazima kula ice cream ni upumbafu sana na inakera. Hawa watu wasameheni hawana exposure tu, kuoa hawajui kuwa ni option kwa mwanamke na mwanaume. divorce rate ni kubwa na wengine wanaona why bother na pia...
hapana walisema zitaanza mwezi wa tisa mwishoni mpaka mwezi wa kumi mwanzoni. huwa wanasema ikishatokea, na kusema itaendelea kidogo ila sasa walitaka wajitahidi kutabiri kabla ya tukio. Lakini hata hivyo huop ulikuwa ni utabiri tu na haikuwa fact, maana kutabiri unakuwa hauna uhakika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.