Mwaka umeanza vyema kwa upande wangu, maana jana nilikuwa maskini lakini leo nimeamka tajiri kidogo kwa kupata TShs. 50M. Ingekuwa ni wewe ungezifanyia biashara gani? Ushauri wako ni muhimu
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwa maneno tu siku hizi hainogi, mvutie mtu angalau kwa picha ya hicho chombo. Picha muhimu Mkuu, nasubiri picha
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
A Level ni daraja la kukuvusha uende upande wa pili wa mto hasa kitaaluma. So EGM ukikomaa nayo vizuri na kufaulu vizuri itakulipa sana huko mbeleni maana uwanja ni mpana kuchagua uwe nani ilimradi tu umefaulu vizuri. Kaza msuri na mtegemee Mungu atakuwezesha kufanya vyema. All the best.
Sent...
Mke/mme mwema mtu hupewa na Bwana. Utakayempata kubali ndiye huyo then rekebishaneni migongano inapojitokeza.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nami pia nilipigiwa simu kama mwezi mmoja umepita nikakutana nao DOM nikapiga interview na sasa nasubiri kinachoendelea. Mi mwenyewe mwanzo nilikuwa na wasi kama ilivyo kwako sasa, maana nilisahau kuwa nilituma maombi utumishi since 2009 eti naitwa kwenye interview October 2013 ila ni kweli ni...
Money can be one of the biggest stressors in a marriage, and fights over money can often lead to divorce. Dont let your relationship be a casualty of money stress. Here are some money moves that can strengthen any marriage, in addition to helping your bottom line:
1. Get on the same page...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.