Search results

  1. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    wengi humu nadhani ni mashabiki na hawana experience ya wanachoongea. Wakajaribu tu waone hata ndege kama watapanda bila kuwa visa wakienda nchi inayohitaji visa
  2. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Kama migration waliwafokea hapo ndio inaweza kuwa kosa.
  3. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Haya kapande ndege bila visa ya unakokwenda katika nchi yoyote bila documents either za visa on arrival au visa uone hata kama hiyo ndege utaipanda
  4. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Imebidi nicheke tu. Kwanza hiyo ndege hautapanda kama hauna visa na unapokwenda unatakiwa uwe na visa. Labda nchi ambayo hutakiwi visa. Endelea na story za vijiweni. Naongea with experience
  5. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Ok. Soma vema utaelewa naongea nini, japo ni mtanzania, unapotokea kama hakuna ubalozi wa unapokwenda utapewa visa on arrival. Unapoenda kama kuna mwenyeji huyo ndio wa kumtaarifu afanye hizo arrangement. Simple! They did mistake, Migration was right. Simple
  6. K

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Kuna Shida. They should.come.with their visa. Abuja kuna Tanzania embassy naangalia Ireland kuna embassy ya Tanzania. Why they did not go there. Second, if they expected visa on arrival, waliarrange na nani to find their visa at.the airport. Problem inaaanza from Ndege waliyokuja anayo. HAWA...
  7. K

    Wale wa mimba alafu ndo ndoa njoo tupe ushuhuda

    Fanya uchunguzi waliowapa wanawake mimba wakatelekeza kwa hila yaliwapata yapi katika mtiririko wa maisha, fuatilia tu tangu enzi za babu na baba zetu achana na vijana wenzetu, unaweza kupata jibu la kufanya nadhani
  8. K

    Mahakama Kuu yapinga mgawanyo wa nusu kwa nusu wa mali kwa Wanandoa waliopeana talaka

    Inaweza kuwa na mantiki ila inapaswa kabla ya ndoa vilivyopo vijulikane na ikitokea ndoa kuvunjika vile vilivyopatikana wakati wa ndoa ndio vigawanywe
  9. K

    Hii ndio laana ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu

    sometimes hata mke anaweza kuwa na laana ikasababisha mume kuamua kutafuta nje.
  10. K

    Hali imekua tete mitaani wanawake ndio wanatongoza wanaume

    Naona frustration za kuambiwa hayo ndio zimekufanya uwaze uwazayo. Pole lakini
  11. K

    Anataka kuolewa na mtu mwingine na mtoto wangu ana miezi 10

    Hayo mapungufu uligundua lini mkuu, nadhani ulipaswa kujua kabla ya kufanya naye tendo la ndoa, kwa ufupi huwezi sema ukweli, wewe ni wale wa kukwepa majukumu.
  12. K

    Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Naona upo depressed and unself- prophecy nyingi. Nashauri utafute counselor upate counselling na uwe karibu na Mungu, I mean pray kila wakati yataisha yote
  13. K

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Ukifukuza chizi uchi wote mtaonekana machizi tu. Tusidharau anything can happen. Napita tu mwenzenu.
  14. K

    Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

    umekuwa wa kichama tena, kazi ipo
  15. K

    Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

    ulivyooandika tu unajichanganya na inaonesha ni uzushi
  16. K

    Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi baada ya Jeshi la Polisi kushindwa kubaini mhusika wa mauaji

    We hope God saw who killed Akwilina. Justice will prevail
  17. K

    Msururu wa wanawake kwa RC Makonda..tatizo ni sisi wanaume kweli?

    Tatizo ubinafsi na ukwepaji wa majukumu
  18. K

    Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    Uliangalia critically hapa ni lugha tu, ila ukweli 1.5 trillions hazipo, serkali haikumjulisha CAG zilipokwenda. Hivyo Bunge lihoji na tuweze kuwa na hitimisho zimepotea au la
  19. K

    Humphrey Polepole ni nani?

    Ngumu kukupa jibu maana haeleweki ni kijana au mzee. Ila uzee upunguza kumbukumbu na uwezo wa kuelewa, nikipata jibu la swali la kwanza nitakujibu
  20. K

    Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

    Hii ilianza kujengwa lini, tujuzane kwanza ndio habari ya promotion na justification za trillion 1.5 ziendelee
Back
Top Bottom