Kwani huo mchele una shida gani hebu twambie! Kwani nchi hii hakuna kiwanda cha kutengeneza condom? Mbona hata condom zingine za msaada? Hebu kuleni mchele mnyamaze
Yani huu wizi wa namna hii mara ya mwisho nilikutana nao 2008 pale ubungo …na tena hao wajinga wanajifanyaga wanaongea kisukuma!
Walivyo wajinga hata ukiwashitukia wanapunguza bei hadi hata 60,000/= madini ambayo wanadai ni million kumi kifupi hao wanawatapeli washamba tuu na wenye tamaa ya...
Mi naona mnaropoka tuu…katiba iko wazi wangefanya nini?…. Lazima tujiulize kwanini makamo alikuwa ana wekwa mbali? Unafikiri hakujua alikuwa anaumwa? Unafikiri nani alikuwa anampa habari Lissu?
Wanasema ” betrayal is not an act of enemy is an act of friend”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.