Search results

  1. M

    Mitihani ya darasa la saba kusahihiswa kwa mashine 2012.

    Katibu mkuu Necta Dr.ndalichako ametangaza hivi karibuni kuwa mitihani itasahihiswa kwa mashine maalumu kuanzia mwaka huu,ametoa sababu nyingi ikiwemo gharama kubwa kipindi cha usahhshaji.hoja yangu hapa nikwamba kipindi cha nyuma chenyewe wanafunzi walikuwa wanajaza majbu kwenye vibox mfano A.B...
  2. M

    Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

    kuna mambo mengine ni magumu kuyaelewa na kuyasemea .
  3. M

    CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    huyu jamaa anamatatizo anajaribu kutufanya sisi n watoto, mzee wa kiraracha mwenyewe kachoko yuko hoi! Eti unalinga nsha kifo na usingiz (TLP NA CHADEMA)ndugu tumia angalau common thnking bila y shule akil!vp?au umelewa unga wandere wa magamba?
  4. M

    Tbc ya anza ubaguzi arumeru.

    Wangama kumbe ume isoma hiyo safi !sana.all in all chadema tunashnda.
  5. M

    Tbc ya anza ubaguzi arumeru.

    Nimekuwa nkifualia sana taarifa za habari za TBC(usiku) na nkagundugua kuwa znapendelea CCM.tr 15 na 16 leo katka taarifa ya habar hawaja onyesha kampen za chadema,hii haingii akilini kwani waandishi wameweka kambi ktka jmbo zma,au ndo wanaogopa kung'olewa kama Tido mhando alvyo kataa kustisha...
  6. M

    Wameru itakula kwenu Jumla mkiruhusu ufalme utawale kwa nguvu ya pesa

    Wazee ubunge nimeamin n dil moja kubwa sana!ninge kuwa mimi sioi nsinge jiingiza kwenye siasa za maji taka!ila walio mdang'anya itamgharimu,nimeangalia CV yake leo nka staajabu.then nkajiuliza huyu ndugu nn anataka zaid Amesoma LLB Uk,na jiwe lingine la rasimaliwatu ana nyazfa kibao sijui...
  7. M

    Mwakyembe arejea nchini; afya yake yaimarika

    Kwa mtaji huu wana jf tutafka kweli?wanatumia watu tofauti kiumri,kifikira,kiuchumi na mengineyo sasa pale mtu anapo tumia kama huyu jamaa haleti maana.nasubutu kusema labda wanabifu hawa na kama ndo hvyo basi hapa sio sehemu yake.mungi mwombe ndugu radhi kwan alicho kisema n kwel na kwenye...
  8. M

    Mwakyembe arejea nchini; afya yake yaimarika

    Jamaa kwa kauli yake namfanansha na wale wabunge masaburi aliosema wanafikiri kwa kutumia .......huwez mkashifu mtu,kama huamin alyo ya sema unge mpotezea na sio kumtukana sjapenda.
  9. M

    Makumira university,tunawaomba wote mlijiandikisha mje mtupe suport siku ya upigaji kura.

    Skweli kuwa imekula kwao njoo lango kuu uone mabango yanayo tawala chadema tupu....
  10. M

    Uchaguzi Arumeru Vs Ufunguaji vyuo vikuu

    siamini taarifa hii.vyuo vyenyewe n vwili.mpaka muda huu kwa makumira na arusha unv.hawajapata taarifa yoyote ya kutofungua chuo mwez ujao.ratiba n ileile tumefuatilia leo
  11. M

    Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

    Msingwa ni jembe!hasikiki akipiga makelele lakn ufansi wake tumeuona.si kusubiri mpaka muda wa kampeni.msingwa wel don!!
Back
Top Bottom