Search results

  1. S

    Freemasonry Wametushika kila kona

    Jamani naomba tujifunze kusoma Biblia na kuitafakari kwa kadri ya kusudio la Mwandishi, Lugha iliyotumika, Mazingira ya Waandikiwa, Tamaduni zao na sababu za kuandikiwa. Ukijua haya yote utajua namba 666 ilimuhusu nani.
  2. S

    Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

    Aliingia msikitini katika kukuza harakati ziitwazo "Inter-religious Dialogue". Kanisa Katoliki linasisitiza mazungumzano na dini nyingine (Inter-religious Dialogue) na mazungumzano baina ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo (Ecumenism)
  3. S

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Ndiye aliyesema Mapadri na Maaskofu wauawe. "Mungu amesimama na kujitetea mwenyewe"
  4. S

    TANZIA: Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima wa jimbo katoliki la Arusha Afariki

    Askofu Fortunatus Lukanima atazikwa ndani ya Kanisa la Parokia ya Kagunguli huko Ukerewe, Jimbo Katoliki la Bunda. Askofu Mstaafu akifariki anaweza kuzikwa ama katika Jimbo alilohudumia kama kama ama Jimbo aliloishi akiwa amestaafu. Kikubwa ni kwamba Askofu Mkatoliki lazima azikwe ndani ya...
  5. S

    TANZIA: Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima wa jimbo katoliki la Arusha Afariki

    Kwa ufahamu wangu wa Sheria za Kanisa (Canon Law), Askofu akifariki wakati tayari amestaafu au akifariki wakati akiwa madarakani bado, anapaswa kuzikwa ndani ya Kanisa. Kama akiwa amestaafu na akaacha wosia wa wapi azikwe akifariki, basi wosia utafuatwa (yaweza kuwa ndani jimbo alilohudumia...
  6. S

  7. S

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Poleni CCM, tumewachoka. Arusha wameonesha njia, Mwanza tutafuata 2015
  8. S

    Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    Polisi wameshindwa kazi, wana maslahi binafsi. Kauawa kamanda Liberatus Barlow wakawapata wauaji. Kauawa padre, wanatuchorea katuni na wanasema ati kukiona mtu anafanana na katuni hiyo tuwajulishe.
  9. S

  10. S

    Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

    Nakushukuru sana ndugu yangu kwa kuangalia mambo practically. Waache kulalama. Maneno hayasaidii kitu. Kwenye somo la Mantiki (Logic) tunafundishwa kitu kinachoitwa specific difference (yaani kile kinachotofautisha kundi au kitu fulani na kingine). Kwa binadamu specific difference yetu ni...
  11. S

    Pendekezo: RPC Kamuhanda (Ruvuma) ajiuzulu kwa kulea majambazi; kauli yake ni ya utata aombe radhi!

    Quotation za kilatini hakikisheni zipo sawa ili msiharibu maana ya maneno.
Back
Top Bottom