Search results

  1. J

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Siamini kama kimaadili na nafasi aliyonayo katika taifa anaweza kutamka maneno yenye matusi kama yale. Haikubaliki katika jamii ya kitanzania kuwa kiongozi asiyejua maadili hasa anapotumia vibaya majukwaa kutukana viongozi wenzake ambao wote lengo lao ni moja ila tofauti inakuja katika sera na...
  2. J

    Hello

    Nimefurahi kuwa member wa hii forum kwa kuwa inanifundisha na kunihabarisha mambo yahusuyo Taifa letu la Tanzania. Inapendeza kuona jinsi gani watanzania wana uchungu na nchi yao licha ya toufauti za vyama tulizonazo. Inapotokea mgongano wa mawazo, hapo ndipo mawazo chanya yanazaliwa. Tuwe na...
Back
Top Bottom