Search results

  1. tigana

    Msaada wa kuseti mashine ya kutotoresha vifanga "incubator "

    Wadau nina mashine hii kwenye picha naomba masaada wa kuseti maana kila nikiseti inaishia 30 tu
  2. tigana

    Toshiba satellite c660 webcam drivers

    Wanajamii naomba msaada wa kupata drivers za webcam za toshiba sattellite C660. Thanks
  3. tigana

    Nafasi za masomo vyuo vya nursing na uhudumu afya

    Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya. Nashukuru kwa mchango wako
  4. tigana

    Magonjwa kwa kuku wa kienyeji na maatibabu

    Wataalamu naomba msaada wenu nina kuku wangu aina ya kuchi anaumwa anasinzia na kuharisha kinyesi kama cheupe ni dawa gani inaweza kumtibu kuku wangu naomba msaada Maana nilimnunua bei kubwa sana. Shukrani
  5. tigana

    Waraka wa Serikali Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010

    "" Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010."" Naomba mwenye Huu waraka anisaidie
  6. tigana

    Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

    Mtaalamu naomba msaada ku unlock modern ya airtel IMEI 862648015537445 na model : MF 190 huawei Thanks
  7. tigana

    Craking adobe photoshop cs3

    Wataalamu naomba mnisaidie nifanyaje ku crack adobe photoshop cs3 ili niweze kufurahia ulimwengu wa picha. Thankx
  8. tigana

    Wizara ya mifugo imeweka link ya ngono

    TAFADHALI INGIA KWENYE WIZARA YA MIFUGO Ministry of Livestock and Fisheries Development - Home - HALAFU ANGALIA UPANDE WA KULIA KWA CHINI KWENYE KICHWA CHA IMPORTANT LINK UTAJIONEA MWENYEWE LINK ZILIZOPO
  9. tigana

    Write protected flash

    Wataalamu nimepata tatizo la flash nikitaka kuiformat au kukocpy kitu inaadnika write protected Aina ya flash ni IMATION 4GD nifanyaje kutatua tatizo hili. THANKS
  10. tigana

    How to fix Computer stacking problem

    PC yangu inazingua inastack mara kwa mara naombeni msaada nifanyaje? ili niondokane na hili tatizo
  11. tigana

    Ho to remove WinRar password

    wandungu naomba mweny utalamu wa ku-crack password za winrar anisaidie kuna file nimedowload hapa linazingua
  12. tigana

    Activation key for window 7

    Wandugu mwenye activition key za window 7 for toshiba naomba anisaidie
  13. tigana

    Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

    Jamani hivi umeme ulikatika au taa zilizimwa? wakati Mhe sugu akipiga kura ya kukataa Bajeti ya mwaka 2012/2013
  14. tigana

    Natafuta shule za wasichana

    Wandugu kwa anayefahamu shule nzuri za wasichana, ada na mawasiliano kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Singida, Singida, Morogoro, Iringa Njombe, na Mbeya
  15. tigana

    Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Kwa hili ni babu kubwa mi nashindwa kuelewa nachojua kama mtu matokeo yake yana matatizo ana - appeal kinaeleweka lakini kubadili matokeo ya watu wote! hapa kuna tatizo tena kubwa hii ni agenda ya siri mtu atoke div III hadi div I? ''NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo...
  16. tigana

    Prince Muro lapata ajali

    hivi kweli kila ajali ni mwendo kasi? sijui, kama kweli sisi tunaokuwa tumo ndani ya magari hayo ni wapumbavu kwanini huwa hatukemei mwendo kasi?
  17. tigana

    Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

    dogo ada ya semester ijayo unayo? au ndo unabembeleza hawa mafisadi wakusaidie? lala ukue maisha yakusubili achana na siasa
  18. tigana

    Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

    Mr mzumbe na wewe ulikuwepo huko nini au unadandia tu? mi nilidhani ulikuwepo kwenye tukio ila inaelekea na wewe ni mwanachama hai wa CDM ndo maana unafatilia kwa ukalibu hongera sana
Back
Top Bottom