Mimi natumia inaitwa "You version" nzuri sana moja ya advantage yake nachoipendea ni uwezo wake wa ku switch to other bible version yaani unaweza ukasoma KJV ukaenda swahili union, ukaenda contemporary English Version yaani ni wewe tu!
Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa.
Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1,
Drayer la stima 1,
kioo kikubwa kimoja,
rolas na tray ya rolas.
Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package)
Vifaa vipo Morogoro mjini.
Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
Wateja wa Tz ni price driven type of customers yaan tunaaangalia bei ktk kufanya maamuzi ya manunuz kuliko hata ubora saa nyinge. Cha msingi mafuta yawe ktk ubora unaotakiwa na bei nzr vingne ni 'mbwembwe' unless unataka kuji brand kwny soko.
Mawazo mbadala, kwan hatuwez kulima kibiashara na still tukatunza afya zetu na afya ya udongo? Au mkuu una neno tu na slogan ya 'kilimo biashara' [emoji28]
Kwa kuongezea, even without drawing tablet hizi painting znafanyika. ckuiz mobile gfx designing industry inakua sn. Akiwa na simu km za Samsung note series yoyote ile anaweza kutoa kitu km hiki sabab aina hz za cm znakuja na ka pen, km ka stick flan hv kwa kufanya drawings km hz. Na software...
Mkuu, ungekua makini tayar ungekua ushaelewa mana nmetaja hapo juu aina hyo ya painting inaitwa smudge painting. So just ingia yutube type hiyo key word tutorials ziko nying sn ushindwe wewe tu na aina ya software yako unayotumia.
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Mpaka nmecheka, hii mbona ni simple sn, hii picha cjui cartoon kwanza imetengenezwa kwa app ya cm na aina hii za cartoon znaitwa smudge painting ni aina flan hv za painting ambazo mi hua naziita sio full cartoon. Yaan znatrick flan hv ambazo mchoraji huangaiki sn kuzichora. Yaan unatumia rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.