Search results

  1. sakasaka

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Badili Password ya simu kila baada ya siku tatu Thank you me latter!
  2. sakasaka

    Kutazama EPL Kwa ZUKU fiber internet

    Download Yacine TV Apk Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
  3. sakasaka

    This account cannot use WhatsApp

    Andika email kwenda support@whatsapp.com eleza kwamba ulikua hacked na hilo limesababisha wewe kushindwa access simu yako na account yako ya whatsapp Pia nenda kwenye official website yao kuna sehemu ya kuomba msaada... andika tatizo lako na elezea sababu zilizosababisha kufungiwa. Mimi...
  4. sakasaka

    This account cannot use WhatsApp

    Andika email kwenda whatsapp ukieleza simu yako ilikuwa hacked na sasa umefanikiwa kuirudisha mara baada ya kufanya mawasiliano na mtandao wako. Omba waifungue whatsapp yako Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
  5. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi bado kipo na leo nimejaribu kama nalipia nimekiona kipo Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
  6. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kamba zinazidi kulegezwa... sasa washuke kutoka 70,000/= mpaka 50,000/= Wateja wenyewe ndio sisi wafanye kutugombania kwa offer nzuri.
  7. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hizi pia zina alternative sema vijana hamna siri... mkipewa siku mbili mtakuja kutangaza mitandaoni kuuza kwa buku 5. Acha iendelee kuwa siri ya watu wachache.
  8. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sema Voda walitakiwa waje nahii strategy toka mwanzo ili waliteke soko.. Ila walikuja kwa bei za juu. Leo amepatikana mpinzani ndio wanakumbuka strategy kama hizi. Acha Airtel asepe na kijiji, kwanza router zao zina power bank hii nimoja ya advantage kwa mazingira yetu ya bongo na umeme wetu huu.
  9. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Naona masharti yanaelegezwa kidogo... tutaelewana tu
  10. sakasaka

    Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Tiguan for life Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
  11. sakasaka

    African Satellite World and Sat Gear

    Yoyote mwenye uelewa na hii reciver aina ya D sport D1 hasa kwenye satellite setting kwa Dar es salaam, ninaomba msaada
  12. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni package mmoja, unaikuta ndani ya box... Ina 5000mAh
  13. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Power bank.. umeme ukikata unaendelea kuwa online
  14. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe. Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake wote
Back
Top Bottom