Search results

  1. N

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Well said. Hapo atufute ISP wakae mezani.
  2. N

    Mediacom satellite receiver

    Zimeingia channel zaidi ya 400 hata FTA kama ITV haioneshi au hizi ITV,CHANNEL 10, STAR siyo FTA? Naweza kuona DISH ile ya matangazo tu pamoja na CGTV documentary
  3. N

    Mediacom satellite receiver

    myoyambendi Vp ulifanikiwaa kupata channels Kaka Chief-Mkwawa na mm nina hii decoder. Nimejaribu kuunganisha kwa kutumia dish la dstv kupitia satelaiti kadhaa... Channel zinaingia lakini hazionekani inaonesha smartcard failure Sina uzoefu na hii kitu nimepewa decoder ina kadi 2 abudhabi na...
  4. N

    Naomba msaada wa tatizo la internet Connection

    major mwendwa vipi ulifanikiwa? na mimi nimepatwa na tatizo kama lako leo siku ya tano sipati gmail
  5. N

    NAOMBA KUSAIDIWA HII KITU

    Siku nyingi sijui kama ulipata tray. Mimi nilinunua hapa Mwanza bila shaka hata Kariakoo utapata. ANGALIZO KIDOGO MKUU: Epson ni delicate sana kuwa makini unapoweka PVC card kwenye tray kwani ukiweka kadi vibaya kuna hatari ya kuua head. Njia nyingine rahisi unayoweza kutumia ni kuprint kwenye...
  6. N

    Tujifunze Namna ya Kutuma SMS kama za Vodacom, Halotel, Tigo, Airtel na NMB/CRDB

    Jaribu www.bongolive.co.tz www.sms.co.tz www.sendsms.co.tz
  7. N

    NAOMBA KUSAIDIWA HII KITU

    Kuna printa maalamu za id ambazo zinakuja na software zake soma hapa kwa maelezo zaidi: ID Card Printers - Find an ID Badge or Plastic Card Printer Epson sidhani kama wana printa special kwaajili ya id lakini unaweza tumia model zile zinazoprint cd kama vile T50 au L805 na ukatumia kuprint id...
  8. N

    Programmer naomba msaada wenu

    Sina hakika wanafanya vipi lakini nnachojua ni kwamba inategemea na content za page/post husika, sio kila link italeta picha. Kwenye wordpress kwa mfano ukiandika post unachagua featured image ambayo inakuwa indexed na post. Kwaiyo kama ukishare link ile featured image inatokea na huu ndio...
  9. N

    Wataalamu wa Excel

    Natafuta result grading software
  10. N

    Division Calculator for CSEE & ACSEE

    Full version haina limit ya wanafunzi tafadhali tembelea website yetu www.shulemax.co.tz Angalia bei zetu kupitia: Pricing - ShuleMax Unaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kupitia 0757449054 Tunatoa trial ya siku 15 ambayo itakuruhusu utumie software ikiwa na modules nyingine kama students...
  11. N

    House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    Hamna mradi wowote eneo hilo.
  12. N

    House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    Nyumba ipo Dar es salaam, Kigamboni, Mvumoni Km 16 kutoka Ferry kufuata barabara iendayo Gezaulole. Kiwanja kina hati ya miliki ya miaka 33 na kina sqm 811. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na car park. Ina umeme, maji ya kisima chenye pampu ya umeme na tanki la maji. Pia, ina uzio wa ukuta...
  13. N

    Tecno ni halisi, ni orijino na kamwe haziwezi kuwa bandia

    Ni nchi gani ya Ulaya inayotumia Tecno? Hata nchi za Asia nna mashaka labda huko China. Kampuni ya Tecno imelenga soko la Afrika tu. Inawezekana zisifungiwe lakini hata kama zitaendelea kutumika bado ukweli uko palepale kwamba simu za Tecno hazina kiwango na ni hitari kwa afya yako.
  14. N

    Hotspot ya halotel kwenye iphone

    Settings za data na hotspot huwa zinadownloadiwa automatically kwenye simu yako. Kama unashindwa kuset hotspot jaribu kufanya hivi. nenda kwenye Settings>Cellular>Cellular Data Network halafu utaona sehemu ya Cellular Data na Personal Hotspot, kwenye personal hotspot jaza internet pale...
  15. N

    Unataka kujifunza programming?

    Umesema vyema MK254 lakini na wewe bado unaweza kutoa ujuzi wako na tukaufaidi. Usijali kuhusu kiswahili, kama unaweza kuandika vizuri basi utaweza hata kuongea.
  16. N

    Unataka kujifunza programming?

    Wazo zuri ntakua wa kwanza kufuatilia.
  17. N

    WARNING: Kariakoo na iPhone Date bug

    Ni Kama wiki 2 zinakaribia tangu igundulike kuwepo kwa "bug" katika iOS ambayo hupelekea iPhone kushindwa kuwaka iwapo tarehe katika simu itasetiwa kuwa Mei 1970 kurudi nyuma. Unaweza kusoma zaidi kwenye mtandao kuhusu hii bug. Jana katika pitapita zangu maduka ya kariakoo niliingia kwenye...
Back
Top Bottom