Search results

  1. R

    ..ash wednesday: ALL THE BEST wanaCC NA wanaJAMVI wote..

    Tutafakari maandiko matakatifu. MATHAYO 6. Mfungo mwema
  2. R

    Njooni mtubu

    . Ndo maana nimeandka huu 'uzi'
  3. R

    Njooni mtubu

    . Sasa kama we hukunyofolewa kwann umenyofoa? Umetupunguzia vijana watakaoleta ukombozi katika nchi hii.. Njoo utubu binti..
  4. R

    Njooni mtubu

    . Neno MCHIZI kwa kilugha chetu ni MBARIKIWA, so ondoa maana mbaya kichwani kwako
  5. R

    Njooni mtubu

    Wasichana wote ambao mmefanya abortion, madokta mnaofanya hyo kazi na wanaume mnaowaruhusu wale mlofanya nao uzinzi wakafanye abortion. . . . . . . . . . . . . . . . . Wekeni tanga muwalilie hao viumbe wasio na hatia mliowaua, pateni sononeko la moyo kwa maumivu waliyopata kabla ya uhai...
  6. R

    Ulimwengu wa Bernardo Mukassa katika nyimbo za Kikatoliki (RC) Tanzania

    . Njoo usali parokia ya Mavurunza dsm misa ya saa 4 utaburudika na nyimbo za tradition catholic
  7. R

    Karibuni..

    Inawezekana humu watu wana chit chat mpaka mid nait wakichoka wanaangusha kimyakimya bila kusali!
  8. R

    Mida imekaribia

    Mkuu gambachovu kuna uzi nilishawah anzisha kuhusu kero ya kuvaa mavazi yasiyo ya ibada, i hope wameshabadilika!
  9. R

    Mida imekaribia

    Mamdenyi yakupasa kuheshimu mahali patakatifu. Zima simu ukae mkao wa tafakari.
  10. R

    Mida imekaribia

    Yan pamoja na kuwa na mshahara mzuri unamwibia Mungu kwa kutoa buku mbili? Tena kwenye gud friday?
  11. R

    Mida imekaribia

    Ndio uwahi sasa
  12. R

    Mida imekaribia

    Sisi Wachngaji hatutoi sadaka tunakula madhabahuni!
  13. R

    Mida imekaribia

    Wakuu mida ya ibada imekaribia. Tujiandae bila kuchelewa. Tusitafute visingizio manake tunajitahd kuwah makazini lakin church ful kuchelewa. Ijumaa kuu njema!
  14. R

    Supu..

    Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio mema ya PASS'OVER..
  15. R

    Nahitaji mchumba wa kike.

    ¤ Mbona we hujaweka picha. Halaf peleka huu uzi wako kule love connect
  16. R

    ...nawaza...

    Nawaza kama UKIMWI usingekuwepo watu wangefanya ngono kama hayawani. Manake kama hivi tu na huu UKIMWI watu wanakua na wapenzi wengi, ingekuaje kama usingekuwepo? !! Hebu tubadili tabia na mienendo yetu, tuzishike amri za Mungu..
  17. R

    Rafiki yangu amenishawish ni join Jf.

    Ukichat sana utapanda cheo na kua 'Mee'
  18. R

    Mimi na dada'ko we'na demu wako!

    Its ok. Lakini hata "wavulana" ambao hawajui mapenzi wana mind..
  19. R

    Mimi na dada'ko we'na demu wako!

    nimetulia na pia natuliza waumini wangu
Back
Top Bottom