Search results

  1. M

    Na unlock moderm aina zote kwa 4000

    Hapo nimeweka laini ya tigo, though kuhusu kufahamu kama iko unlocked kuna app nilitimia inaitwa modem unlocker v.5.8.1 (Intelli-Sense) by bojs
  2. M

    Na unlock moderm aina zote kwa 4000

    Sawa Mkuu Moderm yangu ni E272 IMEI ni 357865014052570 msaada
  3. M

    Na unlock moderm aina zote kwa 4000

    Mada nzuri wadau! Nina Moderm pia ya vodafone, imekuwa unlocked, ajabu nikiweka laini nyingine naambiwa ni lazima niwe kwenye vodafone network! Naomba msaada juu ya hili wakuu
  4. M

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Mbatia yuko very bright na hakurupuki, hii system ya spika na naibu spika kuwa na ukada inapelekea kuwapo kwa matawi manne ya serikali nayo ni serikali kuu, mahakama, bunge na spika +naibu spika kama chombo kinachojitegemea. wizara ya elimu ni matatizo kila kukicha :A S angry::A S angry:
  5. M

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    mie nadhani suluhisho la kuchoma magari na nyumba za halmshauri si zuri cha kufanya ni maandamano yasiyokuwa na uharibifu, cha kukatisha tamaa ni pale vyombo vya usalama vikianza kufanya upekuzi wao wengi wataangamia mikononi mwa polisi na hakuna atakaewatazama na kuwaonea huruma
  6. M

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    kuna dalili dhahiri kuwa JK akawa dictator mbumbumbu? Kwa mbna hata dictator mwenye akili ana maamuzi magumu
  7. M

    Opinion: Ubunge wa Afrika Mashariki, Washindi ni Hawa?!

    Mkuu nimekupata vilivyo
  8. M

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    huu ni mwanzo tu na tutavuna wengi
  9. M

    Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

    aisee inawezekana umeiandika hii post kwa kutetea nafasi ya ufisadi uliyoishika, mwalimu hakukiagiza chama kuzalisha dhuluma na mafisadi, aliagiza utawala bora na hekima. Leo hekima iko wapi?
  10. M

    CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

    Nape Nape Napeeee, vp hujui Arumeru si Uzini? You are waiting 4 ua own grave
  11. M

    Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    hakika yaliyo andikwa yametimia, CHADEMA isonge mbele daima! Kila lakheri wapiganaji makini
  12. M

    Rais amteua Bi Amina Said Mrisho kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012

    may be atafanya kama alivokusudia raisi! Tunasubiri hayo matokeo yake
Back
Top Bottom