Search results

  1. A

    Tafsiri ya neno LAPTOP

    kwa kiswahili inaitwa kinakilishi mpakato
  2. A

    nssf na ppf kukopesha wanachama

    michango yako ndiyo inakufanya uwemwanacha wa mfuko husika kwa maana hiyo wingi wa michango yako ndiyo itakufanya upate mkopo mkubwa mwenye mia akopeshwe mia mbili sasa pesa yetu wako na kazi ya kuwakopesha akima manji siye wenye pesa tunabaki tunalia njaa
  3. A

    nssf na ppf kukopesha wanachama

    Wanaforum kuna hii kitu inaniumziga kichwa kuhusu hawa ppf na nssf ni kwa nini wanashindwa kutoa mikopo kwa wanachama wake na badala yake wanakazi ya kutoa mikopo kwa serikali na wafanyabiashara wakubwa huku ikiwaacha wanachama wake wakiwa masikini.na wengi wao masikini ya mungu hawana sifa ya...
  4. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    sasa kwa mfano nimekwenda kupima vinasaba imegundulika wale watoto siyo wa kwangu na nimewalea zaidi ya miaka minne na hadi hivi sasa bado anakuja kuchukua pesa kwa ajiri ya watoto sasa je? watoto wakigundulika siyo wa kwangu je naweza kumshitaki na kwa kosa gani.wanasheria hebu fungukeni hapo
  5. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    na kama kinamlinda yeye kama ngao kifungu hicho hakiwezi kumubana yeye kutoka kwa mwanamme na kwenda kuishi na mwanamme mwingine.kwa madai kuw sijafunga naye ndoa wala sijamtolea mahali kwao?
  6. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    ok ni kifungu gani cha sheria kinacho sema hivyo maana nayasikia sikia tu na wanaosema hivyo hawatoi vifungu vya sheria
  7. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Mi niko dar.lakini kuna mtu aliniambia mwanamke ukiishi naye kwa zaidi ya miezi sita tayari ni mkeo na anahaki ya mali uliyonayo sasa je?nayeye anahaki ya kuchukua mali yangu na kwenda kuitumia na mwanamke mwingine ok ntakwenda huko uliko nielekeza kaka
  8. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Mimi nilikuwa na mwanamke naishi naye nimeishi naye kwa zaidi ya miaka minne sikuwahi kufunga naye ndoa wala sikumtolea mahali,nimezaa naye watoto wawili sasa tumehitilafiana naye akabeba kila kitu ndani mwangu akaondoka navyo pamja na watoto na kuhamia kwa mwanamme mwingine.vitu wanavyotumia...
  9. A

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    kiukweli jamaa kama ingekuwa analipwa mshahara wa kawaida tu,kwenye hili sakata la madrz katika hotuba yake angeweza kujitolea mfano maana alijaribu kutolea mifano sekta zote isipokuwa wanasiasa tu ndiyo hakusema viwango vyao vya mishahara na posho zao
  10. A

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    waislamu waamke kila kukicha wanazidi kupakwa matope na vikundi hivi vya ajabu ajabu vikitumia uislamu kama mwamvuli ili viweze kutimiza malengo ya vikundi vyao na maboss wao that why uislamu unahusishwa na ugaidi kutokana na vikundi kama hivi vikitumia dini kwa maslahi yao binafusi
  11. A

    Mapungufu niliyoyaona pale Jangwani - muhimu CHADEMA kuyafanyia kazi

    Tunapokosolewa tukubali usimwangalie ni nani anayekukosoa hii itatufanya tujenge kilicho bora zaidi
  12. A

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    nicheki kwa 0765189826
  13. A

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    kanumba masikini hivi alikosa wanawake mpaka akamchukue mtoto malaya huyu
  14. A

    Ni kweli kitambi kinapunguza perfomance kitandani?

    Wewe alikudanganya nani kitambi ninacho na mzigo unapigwa kama kawaida
  15. A

    Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

    Mmeona inavitamini hiyo ****** mawili mchezo kwisha unalala huwezi kushindana na ulipotokea
Back
Top Bottom