Search results

  1. F

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    CCM haina utamaduni wa viongozi wake kuwajibika,ngoja tusubiri.
  2. F

    Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    Mkuu uko sahihi nakubaliana na wewe,uweza wa mungu u pamoja nasi.
  3. F

    Inasemekana ccm wamerusha ndege mbili kwenda Arumeru saa tano usiku

    wanafanya nini hao ccm,kuwa wazi mama.
  4. F

    Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini?

    ooohoo,hapo utakutana na za uso ndugu yangu!!
  5. F

    Waziri wa Kenya afariki dunia

    Kumbe hata wenzetu wanapeleka abroad,nilidhani ni hapa bongo tu,RIP minister.
  6. F

    Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!

    Mkuu una uhakika na maneno usemayo??
  7. F

    Bob Makani alazwa Aghakan

    samahani mkuu anaumwa nini??
  8. F

    Bob Makani alazwa Aghakan

    Ndio maana huwa napenda kutumia ugua haraka upone! Mwenyezi Mungu akujalie afya njema mzee wetu.
  9. F

    Hodi wenyeji!!

    asante mwanabodi,kaserengeti ka baridi kidogo katafaa.
  10. F

    Natafuta Tempo...

    Mkuu Tbag mpe kibarua dogo kajirudi amegundua kosa lake!
  11. F

    Hodi wenyeji!!

    asante mkuu nitajitahidi kufanya hivyo.
  12. F

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    Movie ndio kwanza inaanza ngoja nivute kiti nikae vizuri,sterling ndo anapiga jalamba saizi,Tanzania hii sijui tushike lipi na tuache lipi,asante kwa taarifa mkuu.
  13. F

    Tume ya PM Pinda na madaktari hali si shwari

    Siku zote serikali hii tuliyonayo huwa haitibu tatizo bali ina deal na effects za tatizo lenyewe huku ikiliacha tatizo kama lilivyo,pinda anadhani kwa kufanikiwa kuwatuliza ma dr. hawataweza kujimobilize tena na kuanzisha mgomo mwingine,ngoja tusubiri tarehe 3 mbona sio mbali. "PANAPOFUKA...
  14. F

    Hodi wenyeji!!

    Habari wana JF,nimekuwa nikipita kama mgeni mara kwa mara lakini nimeamua kuingia rasmi kama member ili tuweze kujadili mambo yanayoligusa taifa letu kwa ujumla wake pamoja,naombeni ukaribisho wenu wanabodi,nawasilisha!
Back
Top Bottom