Search results

  1. E

    Punguza unywaji wa pombe, ukiweza acha kabisa

    Sijasoma yote ila binafsi nashauri ukishindwa kabisa kuacha basi kunywa beer tu... Makali ( whiskey, cogniac, vodka, gin) achana nazo
  2. E

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Kabla ya sinza ilikuwa kinondoni... Ni ile tu inafika stage unaona hamna jipya acha nile bwaks ndani au kipub cha karibu au niache kabisa... Tabata nao one day watasanuka, watapunguza.. Halafu kutaibuka chimbo lingine.. Life is a cycle.
  3. E

    Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    siku hizi mambo ni mengi tusisingizie pombe tu..
  4. E

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Du, kama kweli basi kweli pesa ni konyo.. na mahoteli yake yamefunguliwa? Maana zilianza kuwa magofu..
  5. E

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Itakuwa tu.. Ila uwe na uhakika wa fedha.. Maana ukiyumba kidogo utahamia kwenye kujidunga heroin (kali zaidi, inachosha mwili, highly addictive)
  6. E

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Inawezekana kabisa... maana mi naongea habari za 2004-2005 nikiwa a-level.. kuna mwamba mmoja alikuwa anajiweza (kwao safi sana) na ndio ilikuwa starehe yake.
  7. E

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Kiboko ni mwingine sio shkuba... Huyo kiboko kambi yake ilikuwa tegeta
  8. E

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Mara ya mwisho nilisikia cha ukucha ilikiwa 2000 tena zamani kidogo na sio pure... sasa imagine kilo moja ina nusu kucha ngapi ndani yake? Ile ni starehe ya matajiri
  9. E

    Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Sawa sawa.. ila mkumbuke unene mwingine ni asili (genetic).. Si ajabu ukute akienda kufanya check up wanakuta vitals (pressure, sukari, cholestrol n.k.) zote ziko sawa.. si unaona katupia hayo magoli mawili.. Cha muhimu azingatie cardio..
  10. E

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Saa nyingine inawezekana asiwe hata anaongea sana (wapo wanawake wakimya japo wachache). Ila ukweli ni kwamba mwanamke ukikaa nae muda mrefu utamchoka tu hata kama mzuri vipi... unakuwa hata humtamani tamani kama zamani lakini haimaaniishi humpendi. Sometimes tunaenda bar ili kuvuta charge kwa...
  11. E

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Na siku hizi wenye bar wanavyojua kuweka pisi.... tatizo uti lakini pisi..
  12. E

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Na mimi ndio ninavyojua hivyo.. bi mkubwa wake ndio lecturer tena kitambo sana... itakuwa hajastaafu tu?
  13. E

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Yani vijembe vilikua viiiingi, mwamba akamjibu mara moja ikawa nongwa
  14. E

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    DU nimeikumbuka hii story, longtime ago, kora awards, sauz afrika
  15. E

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Ila mpaka anafikia kuongea hivyo alikuwa ammeshiasimangwa sana na yule bibie
  16. E

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Hio mbona Sio mtaalam sana wa Bible ila mafundisho nilipitia.. Somo la toba liko very clear... lazima ujutie mwenyewe kwanza, pili uende ukaombe msamaha kwa uliemkosea...na mwisho ndio uende kutubu kwa Mungu.. Sasa kama uliemkosea kashiakufa sijui unatoboa vipi hapo.. Sio uzingue watu halafu...
  17. E

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kwa hizi comments huyo mzee kapigwa na vitu vizito vingi... kama laana vile..
  18. E

    Mapenzi yamenishinda nahamishia mapenzi huku

    Noma baba, kama michael jacksoni
  19. E

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Watu mnakua wagumu kuelewa.. hizo takwimu unazoongelea ni za mkoa mzima (Dodoma CC, Dodoma DC, Mpwapwa DC, Kondoa DC, Chemba DC, Kongwa DC)... Iliyotajwa kwenye hii nyuzi ni Dodoma CC peke yake.
Back
Top Bottom