Bora hata wasiongezwe kwa sababu
1. Serikali itawalipa nini kama hao tu waliopo inashindwa kukidhi mahitaj yao.
2. Watatumaliza bure maana siku hiz wanaua raia.
bora TCU, hiyo bodi ya*mikopo ndo balaa. inaagiza wanafunzi wafanye applivation wakati matokeo ya kidato cha 6 hayajatoka. unalipa 30,000 na matokeo yakitoka ukawa umefeli ndo basi tena hela yako itakuwa imeliwa! na mbaya zaid idadi ya wanafunzi wanaofeli ni kubwa kuliko wale wanaofaulu
kilichotokea ni kitu cha kawaida ambacho kinaweza kumtokea mtu yeyote....! ila nadhan hii itakuwa fundisho kwa wale mabinti na watoto wa kiume wanaokimbilia mambo ambayo yamewazid umri! niliwahi kumuona mara kwa mara katika vipind vya tv, sio siri alikuwa anaonekana hajitambui kabisa! nadhan...
sasa kama madaktari hawamhusu hapo wizarani anafanya nin, si aondoke akawahudumie wanaomhusu....? inasikitisha kuona kiongozi mkubwa kama huyo anasema maneno kama hayo.
ndio maana hata mikataba kati ya serikali na wawekezaji mnafichwa kwa sababu ya huo usiri unaoutaka! hivi kwa mfano mtoto wa jk angepata div1 ungemuomba Ndalichako atoe matokeo kwa namba ili watu wasiwe wanaona div1 za watu? siku nyingine utasema hata shule ziandikwe kwa namba tu ili kuficha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.