Search results

  1. kwelwa

    ‘Mpeni Sioi ubunge mumfute machozi’

    WANANCHI WA ARUMERU WATAMCHAGUA SIOI IKIWA BABA YAKE ALIWALETEA MAENDELEO KATIKA JIMBO AMBALO LINAONEKANA KUWA NA KERO NYINGI AMBAZO ZIMESHINDWA KUPATA UFUMBUZI KAMA AMBAVYO AHADI ZA JAKAYA ZILIVYOSHINDWA KUTATULIWA.KIMSINGI WANANCHI WANA KILA SABABU YA KUTAFAKARI SANA ,NA SI KUCHAGUA ETI KUPATA...
  2. kwelwa

    CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    KWA UJUMLA NAUNGANA NA MDAU ALIYESEMA KUWA UMEAMUA TUKUONE KWENYE THREAD KWAMBA NA WEWE UMETOA WAZO.KI UKWELI NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.MIMI NADHANI KWA USHAURI WANGU NAONA KAMA UMEINGIA CHOO CHA KIKE.WEWE HATA VYOMBO VYA HABARI HAUFATILII?MSALIMIE MJOMBA WAKO MWIGULU...
  3. kwelwa

    unahitaji wazo la biashara ? soma hapa.

    Kinachoonekana kwako ni kuthubutu.ebu thubutu kuingia,usiogope
  4. kwelwa

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    KIMSINGI NAONA KAMA MADAI NA SHUTUMA UNAZOTOA HAZINA MASHIKO YOYOTE,NI JANA TU UMEJIUNGA UMEANZISHA THREAD YA KUSHAMBULIA VIONGOZI WA CDM.SAWA TUNAOMBA UTUPE DATA KAMILI ZA HIYO NYUMBA YA DUBAI YA MH MBOWE.JE UNAFAHAMU AU UNAJUA FINANCIAL BACKGROUND YA MBOWE JUU YA UKUMBI WA BILICANS?AU...
  5. kwelwa

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Nashukuru kama na nyinyi wenzangu mmeliona hili la vitu vya anasa.Kinachonishangaza zaidi ni hizi silaha hasa SMG au alibeba SMG UZIGURN?Maana navyofahamu ni kuwa smg ni silaha kubwa ya kivita.Kwa msingi huu inaonyesha anacho kibali cha kumiliki silaha ya kivita.
  6. kwelwa

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    KIMSINGI HUTAKI KUULIZA,DUNIA YOTE INAJUA KUWA ALIKUWA MAREKANI AKIWA KAMA MWENYEKITI WA MAPROFESA DUNIANI AKIJADILI DEPRESSION YA DUNIA.HOWEVER SISI TUMEKUWA NA DHANA POTOFU YA USHABIKI WA KINAZI HATA KWA MAMBO YA MSINGI.MI NADHANI PENYE UKWELI TUWE WEPESI KUKUBALI.KWA USHAURI WA BURE JARIBU...
  7. kwelwa

    Kigogo na kada wa chama cha wananchi (CUF) Wilaya ya Ilemela ahamia Chadema leo.

    many wanachama from cuf will soon join cdm
  8. kwelwa

    Majina matatu tume ya kurekebisha katiba toka CHADEMA, nani awemo?

    mi nampendekeza Halima mdee,dr mkumbo,lissu
  9. kwelwa

    Mwenyekiti Halmashauri ya Uyui auwawa

    Acha kejeli za kipuuzi kwa mambo ya msingi
  10. kwelwa

    NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

    Kero yako ni nzuri na inazungumzika,nakushauri uipost kwenye thread ya kero ambazo mwananchi unataka ziwakirishwe na makamanda wa chadema bungeni.
  11. kwelwa

    Mitindo ya unapofanya majambozi huwa nimafunzo au bidii ya mtuu mwenyewe?

    "EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER":tongue::embarassed2:
  12. kwelwa

    Waziri ananitaka kimapenzi

    kauli yako inanitatiza unaposema annionga gari.Sasa kama gari umeshapewa unadhani kifuatacho ni nini?au mmekorofishana sasa unatuletea wana jamvi 2toe maoni yetu?kuwa muwazi
  13. kwelwa

    Kwa Wanaume Tu - Naomba Uzoefu Wenu katika Hili

    Mimi kwa upande wangu na uzoefu wangu,si kweli kwamba kuna aina hizo.Ni mtazamo tu wa vijana wa kileo.Kuna msemo wa kiingereza usemao kuwa Experience is a mother of sweet.Sasa kama maandalizi yako ni kama ya taifa stars unategemea kusicore nini?kwanza kitendo cha wewe kusababisha maji kutoka ni...
  14. kwelwa

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    [mimi nadhani suala la kafulila ni too personal.wewe kama wewe huitaji kutuambia kwamba ana elimu gani.kama bunge lina kumbukumbu kuwa ni graduate wewe unaumia kiasi gani?kama sikosei hata karo hukumlipia wewe elimu yake inakuhusu?let us discuss burning issues prevailing in our country.we do...
  15. kwelwa

    Cuf wanawashukuru wote walio jitoa kwenye chama

    M mhhhh hapo cuf mumechemusha.hao ni bahadhi ya wanachama ambao wam eamua kumfunga paka kengele,wapo wanachama wengi muda ukifika watajitoa kwenye chama.kikubwa ushauri kwa mtatiro na wengine ambao sauti zao zinasikika wakae na waangalie nini chanzo cha wanachama kuanzaa kukimbia
  16. kwelwa

    Biashara ya asali kwa soko la Afrika Mashariki

    NASHUKURU KWA RESPONSE YAKO,JE HUYU MKUNDE NITAMPATA VIPI/MAANA NAMBA YANGU 0756243968/0785404493,wazirikwelwa@yahoo.com/kwelwa@gmail.com
  17. kwelwa

    Ufugaji wa kuku wakisasa}layers}

    jamani wana jf mbona hamnipi jibu kuhusiana na post yangu niliyo waomba kuhusiana na mradi wa kuku?bado nipo dilema,kimsingi nilitaka kujua kuku wa wiki 10 wanapatikana wapi na kwa shilingi ngapi,naombeni msaada wenu.
  18. kwelwa

    Biashara ya asali kwa soko la Afrika Mashariki

    wana jf naangalia uwezekano wa kuanzisha biashara ya soko la asali katika soko la afrika mashariki hususani kenya.asali hii inapatikana kwa wingi tabora,shinyanga na dodoma.pengine kuna mwenye idea juu ya biashara hii,je inalipa?japo watanzania tu woga wa kuthubutu kuingia.
  19. kwelwa

    Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka?

    you are now creating what we call tribalism
  20. kwelwa

    Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka?

    you are now .creating what we call tribalism
Back
Top Bottom