Search results

  1. B

    Business Partner invited

    A secretarial service provider will start its business soon in Arusha and it is currently looking for one business partner to join the founder in the effective operation of the business. The prospective partner should have the following minimum qualifications: Form 4 with passes in...
  2. B

    Msaada kwa anayejua

    Wadau naomba kujua kama shortlist ya TPDC pia inahusisha Technicians maana mimi nimejaribu kupekua sehemu zote sijaona na kazi hiyo ilitangazwa. Tafadhali naomba msaada maana kukaaa kijiweni kumenichosha.
  3. B

    Standing order's

    Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie.
  4. B

    Mtikila: Tamko DPP juu ya bomu lililolipuliwa Arusha - CHADEMA wanatafuta Ushindi kwa kura za Huruma

    Sijaelewa, hivi ni tamko la DP au Mtikila? Au DP na Mtikila ni kitu kimoja? Siasa za Tanzania mpaka aibu, inawezekanaje tamko la chama liwe na hisia binafsi mwanzo mwisho? Tunahitaji maombi lakini si ya mchungaji kama Mtikila.
  5. B

    VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

    Ni kweli mnatenda, tumeona Arusha na Mtwara.
  6. B

    Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

    Mkuu maandishi yako yanaashiria haya:- kama vile umekuwa mkali! Kama vile umechukia! Kama vile umeguswa na comments za watu makini! Kama vile unashabikia mambo ya hatari kwa usalama wa watu wanyonge! kama vile hujui kuwa hatuna polisi ila tuna vijana walinzi wa maslahi ya watu wachache! Lakini...
  7. B

    je ni sawa kukatwa NSSF wakati wa kipindi cha probation miezi 3???!

    Ni sawa, kinachotakiwa uwe umejiunga na huo mfuko na pesa zako zinapokatwa zipelekwe huko.
  8. B

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Amani ya Tanzania CCM wanaifikisha mwisho. Tuombe Mungu 2015 tuwaondoe.
  9. B

    Rasimu ya katiba: Tanzania bara isomeke kama Tanganyika

    Kama watanzania tutaikubali rasimu ya katiba kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muuungano ya mwaka 2013 na kwa kuwa inapendekeza mfumo wa serikali tatu, basi ni vizuri badala ya serikali ya bara kuitwa serikali ta Tanzania bara iitwe serikali ya Tanganyika.
  10. B

    msaada wa kisheria

    Hapo mkuu sijakuelewa! Ni wakati gani itakuwa hivyo? Sio kwamba inategemea na stage ambayo kesi imefikia?
  11. B

    Employer akikusimamisha kazi - Msaada

    Mkuu nimejaribu kupitia Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, pamoja na Kanuni zake sijaona sehemu inayosema kama hapo nilipokoleza. Nadhani unaweza kukubaliana na mimi, kama hutaniambia ilikoandikwa, kuwa kwa sasa mwajiriwa anastahili kuopewa mshahara kamili na sio nusu kama zamani endapo...
  12. B

    Msaada Jamani

    Kwa kawaida mahakama pekee ndio ina mamlaka ya kusema ndoa imevunjika na kimsingi mahakama haivunji ndoa ila inatamka (declare) kuwa ndoa imevunjika. Na kuna sababu zilizotajwa na Sheria ya Ndoa zinazoweza kusababisha ndoa ivunjike. Kwahiyo kama ungesema wewe na mwenzako mna shida gani...
  13. B

    Mtu aliyeachishwa kazi anastahiki malipo gani?

    Kwa mawazo yangu naona umeelimika lakini si sana, maana unataka kumbana mwajiri wako lakini hutaki kuweka mambo hadharani ili wadau waone kama ni wewe mwenye kosa au ni mwajiri wako. Katika kusema kuwa unatakiwa kulipwa nini, ni vizuri kama ungewaeleza wanasheria mambo haya:- Kwa nini hukuwa...
  14. B

    Sheria ya Mirathi - Kimila

    Mambo ya research hayo.
  15. B

    msaada wa kisheria

    Nadhani kwa maelezo yako hutapata msaada unaohitaji maana wanasheria wetu huwa wanapenda kupewa maelezo kwa upana zaidi ili waweze kuchambua na kutoa majibu. Kwahiyo ingekuwa vizuri kama ungesema kesi inahusu nini, inadai fidia kiasi gani na vitu vingine kama hivyo. Samahani kama nimekukatisha...
  16. B

    Maswala kuhusu process za polisi, msaada tafadhali.

    Kwa kawaida unaporipoti kituo cha polisi na kutoa malalamiko kama hayo ya kwako au mengine yeyote ya jinai, unabaki kuwa mlalamikaji na polisi kwa kwa upande wao wanakuwa na jukumu la kufanya upelelezi na kuona kama malalamiko yako yana msingi wa kisheria au la? Lengo la kufanya upelelezi ni...
  17. B

    Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Pole! Lakini mbona ni ya kawaida?
  18. B

    Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Taratibu utatueleza na jina lake. Twende!
  19. B

    Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

    Kwa kweli muhishimiwa kachemka sana kama ni kweli, napenda nichukue nafasi hii kukupa pole sana mama muhishimiwa, najua uko kwenye wakati mgumu sana lakini itakubidi ujitahidi kuwa imara, watoto wanakutegemea sana maana hawa jamaa wakishatekwa huwa wanasahau mpaka watoto. Pole sana! Kuna haya...
  20. B

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kwa watu wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa ni vizuri wafahamu kuwa ndoa si jambo la kukimbilia kabla ya kujipanga na kwamba hakuna majaribio ya kuoa au kuolewa. Ndoa ni taasisi muhimu katika maisha ya mwanadamu, na kwenye ndoa imara tunapata watu imara na wenye kutimiza wajibu wao, na kwa...
Back
Top Bottom