Search results

  1. K

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Kama mimi ni mwana siasa this is a good day kwa kweli makombora ya JF na mange leo yameelekezwa kwa mussa
  2. K

    Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

    wenyewe wanakuambia kuwa kulikuwa hakuna mtu kwenye hivyo visiwa kabla hajaja mwarabu unbelievable
  3. K

    Sakata la Tido lilianza 2009

    HALISI weka docs zilizoondolewa JF
  4. K

    Rais Magufuli lazima aambiwe ukweli, Uchumi wa Viwanda bila umeme ni ndoto

    Minimum kwa miaka 10 ijayo ili tfike kwenye uchumi tunaotaka bas tanzania lazima tuwe na umeme si chini ya megawatts 18,000 hivyo kwa kuanza kama kwa mwaka tukiwa na uwezo wa kuzalisha megawatts 4,000 bas tutafika lakini sio kwa pesa za ndani kama anavyotaka mfalme
  5. K

    Sakata la Tido lilianza 2009

    Na kama kawaida JF ni kuliko Google Mods hebu rejesheni huu uzi jukwaa la siasa. Tuanze ku connect the dots Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes
  6. K

    Kikwete ni Rais aliyetumia miaka minne nje ya nchi. Serikali yake ilikuwa na pesa ya kulipa kila mtu

    Hiyo ya kuwatosa waswahili is very true Alishindwaje kuendeleza Bagamoyo au Rufiji? Kaondoka kisiwa cha mafia hakuna haya meli ya kuvusha watu
  7. K

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    kwa nini hili shirika lisivunjwe na kila wilaya likawa na nyumba zake?
  8. K

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    wengine wanatumbuliwa live kwenye majukwaa huyu anatumbuliwa kimya kimya weekend yale yalee ya Animal Farm
  9. K

    Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    Magufuli alipata approval ya huyu kabla hajamtimua Nehemia?
  10. K

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    hivi shule zote hiz zenye scholarship zinataka wanafunzi toka Tanzania wawe na certificate ya kusoma English?
Back
Top Bottom