Search results

  1. Infantry Soldier

    Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

    Goodbye JamiiForums. Tutaonana tena tarehe 20 November 2026. MAWASILIANO YANGU === Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp E-MAIL: infantrysoldier2012@gmail.com === I wish you all the best.
  2. Infantry Soldier

    Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Goodbye brother. See you again on JamiiForums on date 20 November 2026. MAWASILIANO YANGU === Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp E-MAIL: infantrysoldier2012@gmail.com
  3. Infantry Soldier

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama ulitegemea nitakutukana, umekosea sana. Situkanagi watu hovyo mimi
  4. Infantry Soldier

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Asante sana kaka. Samahi nilituma na kule PM usije kukutana na message ukashangaa.
  5. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Kukopeshwa pia ni msaada kwa maana unakuwa umekosa pesa instantly. Ukiwa na jeuri ya pesa unalipa cash papo kwa hapo.
  6. Infantry Soldier

    Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Upendo uwe na kiasi. Usiwapende watu saaaana mpaka ikakuumiza na wewe. Ukiwa na akibwa ya 150,000/= kisha ukamsaidia mtu 2,000 huo ni upendo wa kiasi, kuliko kumpa mtu hela yote alafu unaanza kunung'unika. Usimpe mtu shati ilhali wewe unatembea kifua wazi.
  7. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Kukopeshwa pia ni msaada ndugu yangu>>> Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo
  8. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Mkopo huo>>> Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo
  9. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Kumbuka kuwa sisi tuna shida nao sana. Jamaa wapo very advanced hivyo tunawahitaji sana. Labda kama ukisema tuishi kwa dhana ya "masikini jeuri"
  10. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Mkuu, alafu kaa ukijua ya kwamba Tanzania inawahitaji sana Uturuki kuliko Uturuki inavyoihitaji Tanzania. We're poorer compared to the Turkish.
  11. Infantry Soldier

    Shujaa Magufuli hajawahi Kuteka mtu wala kupora Fedha za mtu yeyote. Angefanya hayo CCM ingemwajibisha na tukumbushane Rais ni Taasisi

    Mkuu, kama Rais ni taasisi, mbona mahakamani (The Hague) wanasimama peke yao na hawaji na hiyo ofisi ya Rais/Taasisi?
  12. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Siku zote ukimuona mtu anatumia nguvu nyingi katika kutetea jambo ujue ana shida fulani pahala.
  13. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Kama unaanza kuleta personal issues katika mijada badala ya kuja na hoja, sasa nitaanza kukudharau.
  14. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Hii pia utaikataa>>> Turkey to partly fund multitrillion railway project in Tanzania
  15. Infantry Soldier

    Uturuki inatujengea SGR. Wameshambuliwa na magaidi. Are we not supposed to share in their grief?

    Mimi pia ninakuheshimu sana mkuu>>> Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo
  16. Infantry Soldier

    Kutokana na madiliko ya hali ya hewa, ni muda muafaka kuwa na Wizara itakayoshughulikia Upandaji wa miti na kuzuia ukataji wa miti tu

    Mkuu, kama Wizara na taasizi za sasa zimeshindwa, hiyo wizara mpya itawezaje? Na kwanini iwe chini ya ofisi ya Rais na sio kwingine?
Back
Top Bottom