Search results

  1. K

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Ila si wanasema huyu jamaa……..[emoji38] ngoja nikaushe
  2. K

    Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

    Lengo atoke tu sababu tutatafuta tu [emoji38]
  3. K

    Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

    Za uporaji kutumia silaha je?
  4. K

    Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    19 ndio natumia Mimi mwaka was 10 sasa
  5. K

    Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Udhalilishaji wa vyombo vyetu huu
  6. K

    Kauli ya Mpendazoe "ukitaka kuepuka nzi lazima utupe kibudu" si ya kiungwana

    Duh asee... Ipo siku atajutia maneno yake na kile alichokomaanisha. Wanakosea sana kutumia matusi katika majukwa ya kisiasa kwani Hakuna alie wahifanikiwa kwa kutukana Au kukashifu.
  7. K

    Viapo Vya Wakurugenzi: Rais Magufuli ameteua Wasomi, aagiza Serikali itumie EFD, Wagawa vyeo kukiona

    Sasa mtu mwenye cheo kikubwa Cha nchi unahaja gani yakufanya decision za kuwatwanga unao waongoza? Mi nilijua Kateuwa watu competent kumbe ni responce ya kuwatwanga baadhi ya watu. I think it's high time to do the right thing and not act as a respond to the opposition. Kwa watu ambao hatuna...
  8. K

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Mahindi mabichi ya lipa lakini kwa kutumia drip illigation ni Kama nguvu kubwa inatumika hivyo ushauri wangu Kama unaweza kunywesha ni vizuri zaidi na bado utakua umelima kisasa na hiyo drip system ukaitafutia zao ambalo lita ku conducive mfano nyanya, hoho, tikiti, vitunguu swaumu, au hata ginger.
  9. K

    Ipo siku Spika ataahirisha bunge kwa Mahudhurio hafifu ya wabunge! CCM wabunge wake si makini

    Naibu spika alikua na fulsa pana ya kujijenga kisiasa kwa Kwakua yeye ametokea kwenye uteuzi badala yake kaamua kuwa one sided. She was supposed to play smart and earn credit both sides from her perfomance but ndo hivyo kashindwa kuwa mediator.
  10. K

    Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

    DOGO kachana Ila basata wanajifanya na wao wanaenda sawa na kasi ya magufuli
  11. K

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Which ground do you stand to throw stones to Lowasa? POLEPOLE Polepole jibu haya tuone Usafi wako kama unavojinasibu twambie kuhusu mradi wa Kituo cha vijana uliokuwa wa dola laki sita chini ya TYC kwa ushirikiano na shirika toka Denmark ukifadhiliwa na DANIDA kwanini mkataba ulisitishwa...
  12. K

    Ngoma nzito majimbo haya

    Iringa Msigwa anatoboa asubuhi Kabisa, Mwakalebela Hana uwezo wakusimama na Msigwa. Alipata jina kipindi ile alikua na vichenchi alivyopiga kwenye Mpira. Saivi anachoweza kishinda kwenye grocery yake akilewa.
  13. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Anachobugi Polepole nikufikiri yeye polepole anaweza sima kupinga hii natural change(M4C). That only happens in his dreams.��
  14. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Polepole kajaa povu hajajibu hata hoja moja.
  15. K

    Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Nimeona video iPo Poa sana 👌
  16. K

    Mchango wa Mch. Msigwa Bungeni Mei 29 2015 ulivyotikisa

    Lazima uyeyuke bwana barafu 😂
Back
Top Bottom