Search results

  1. G

    Erick Shigongo atiwa kizuizini

    Shigongo jembe,tatizo wabongo mna wivu sana.maaamazenu.
  2. G

    Nauza shamba m20 eka 1 lipo Arusha nje kidogo ya jiji.

    Ipo pembeni ya barabara,kuna nguzo ya umeme shambani,na maji ya bomba mita 20 kutoka shambani.
  3. G

    Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

    Lowasa ni mchapakazi sana na mambo yamezorota serikalini baada ya lowasa kuchukua maamuzi magumu. Lowasa kachafuliwa kwa chuki binafsi,hii ni kwasababu kabla hajachafuliwa hata wewe ulikuwa unamjua RAIS ANAYEFUATA. Lowasa anafaa kuwa RAIS na anaweza kuwa RAIS na ni mwaka 2015.amen.
  4. G

    Ni muda wa kumuomba msamaha AFANDE SELE

    AFANDE ATABAKI KUWA SNITCH MPAKA AOMBE MSAMAHA COZ ALISALITI WANAHARAKATI VINEGA, NLIMSIKIA AKIZUNGUMZA KUWA KALIPWA MIL 1.5 KWENYE ILE SHOO,IZO NI HARAKATI ZA SUGU NA VINEGA, AFANDE WEWE NI KAMANDA,JEMBE,SOJA,KING,MKALI. Ila ulibugi.ITABIDI UOMBE MSAMAHA NA UJIUNGE NA WALE WANAOMSHUKURU...
Back
Top Bottom