Search results

  1. DarkPower

    Mume ana furaha mazishini

    Jamaa mmoja mkewe amefariki,wakati watu wamebeba maiti wanakwenda kuzika,Mumewe alionekana mwenye furaha na kucheka,watu wakamuuliza kwanini huna huzuni ambapo aliefariki ni mkeo?,Mume akawajibu akiwa na furaha kwamba ni leo tu ndio anajuwa mkewe anakwenda wapi!!! kwasababu kila siku anatoka...
  2. DarkPower

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Huyo sasa ameshakuwa ni kiongozi wa "mafia" na sio mfanya biashara muungwana,ingefaa serikali ya Tanzania kuchukua hatua kali kwa adui huyo wa taifa na kutaifisha mali yake yote na kupokonywa uraia wa Tanzania halafu asafirishwe kama hatahukumiwa.
  3. DarkPower

    Aloe gelly + argi+

    Bila shaka madawa mengi japo sio yote huwa yana side effect,ingefaa mnapotujulisha kuhusu uzuri wa madawa vilevile mutujulishe side effect zake kwa watu wenye jambo fulani au wanawake waja wazito au watoto.
  4. DarkPower

    Bi Kidude Enzi Zake alivyokuwa kijana na sasa jinsi alivyo

    Bi.Fatma binti Baraka Hamisi {Bi.Kidude} kafariki akiwa na umri wa miaka 102.
  5. DarkPower

    Kitendawili

    hahahahahahah kumbe kitendawili manake ni kuchemsha ubongo
  6. DarkPower

    All the Lebanese Goverment Websites are been Hacked by RYV "Rise Your Voice",

    Check this Link http://t.co/vAytdYG9 {WE ARE SHARING WHAT WAS SHARED WITH US} To our dear "beloved" Lebanese Government, We are RYV, short for "Raise Your Voice", and we are simply a group of people who could not bare sitting in silence...
  7. DarkPower

    Duh, hii ni hatari! Kumbe wananchi walikusudia kumuua mkuu wa Wilaya

    Jambo la kwanza kuhusu wananchi kutaka kumuua mkuu wa wilaya ni jambo la kusikitisha sana na ni la aibu kubwa,lazima tufahamu kwamba tuna nchi yenye katiba na sheria na mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo tunajivunia,kama mkuu huyo inavyodaiwa kuwa alijibu maneno ya kuudhi wananchi...
  8. DarkPower

    An Angry Husband

    Angry husband is not happy with his wife & sends a message to his mother inlaw: "ur product is not matching my requirements...." smart mother inlaw replies: "warranty expired,manufacturer not responsible after seal is broken". mambo makubwa hayo!!!!!!
  9. DarkPower

    Blood donation to his Girlfriend

    A boy donated blood to his girl friend, when they broke up the boy wanted his blood back, the girl threw a bloody pad at him and say i will pay u in monthly installment!!!
  10. DarkPower

    Ulevi nooma!!

    hahhahahahahhahahah hiyo safi
  11. DarkPower

    Meno yanauma na mafizi yanatoa damu ni nini sababu yake na nini matibabu yake?

    Dadangu ana matatizo ya meno pamoja na mafizi yake,swali ni hili hapa;Meno yanauma na mafizi yanatoa damu ni nini sababu yake na nini matibabu yake?
  12. DarkPower

    Saratani ya Mlango wa Kizazi inavyowatesa wanawake wengi duniani

    Kweli mambo yanatisha lakini swali muhimu ni Je ugonjwa huu hata ukishafikia kilele chake kuna uwezekano wa kutibika?
  13. DarkPower

    How to use my neighbors wifi internet!

    Hii Topic imeanza kama infomation, ina ni-inform njia ya How to use my neighbors wifi internet!, sasa nakuja kuangalia chini kama imenieleza lolote kuhusu how to use my neighbors wifi internet sijaona fundisho lolote, so naomba mwenye ufundi wa jambo hili atufundishe tujue,coz mimi ni mgumu wa...
  14. DarkPower

    Mahakama ya Kenya yashindwa nguvu na mtoto wa Rais Moi

    Hahahahah kweli wanawake wanaweza kukashifu utajiri wa waume zao kwa kudai talaka,hapo ndio utajua kama hawa watu walikuwa wakijilimbikizia mapesa wakati walipokuwa wazee wao ni viongozi.
Back
Top Bottom