Search results

  1. popobawa

    Jamani PSPF wameshaita watu kazini?

    watu wengine sijui wakoje. aliyemfanikisha kufanya hiyo oral ni haohao pspf, na walisema watu wategemee taarifa kwa njia kama hizohizo za mawasiliano kama simu, gazetini na kwenye web yao. sasa wapo kimya. unadhani huyo mtu akaulize wapi? hata ndugu yangu kaambiwa hivyohivyo, so watu...
  2. popobawa

    Jamani PSPF wameshaita watu kazini?

    wazo la kujiajiri ni zuri but lina style yake kaka.watu mnadhani kujiajiri ni kitu kirahisi, rahisi tu. watu tunakaa kwa ndugu zetu, msosi wa kuvizia,shule tumesoma kwa tabu, hadi budget ya nauli inagoma.unadhani kujiajiri itakuwa rahisi?
  3. popobawa

    Jamani PSPF wameshaita watu kazini?

    kuna taarifa zisizo rasmi kwamba hadi wamtangaze managing director mpya ndo kila kitu kitakuwa hadharani. Lakini ndg yangu hawa jamaa nasikia tayari kuna vimemo vingi vimeshapita, na zile nafasi zilikuwa kumi na siyo nane. watu wawili tayari walishajulikana zamani.
Back
Top Bottom