Ndugu zanguni ninatatizo la tremor. na hii ipo sana mikononii na miguuni, nimepewa neurobin naendelea nazo kila siku sina matokeo.
nisaidieni nishaurini
Ndugu zangu,
mara nyingi angalia stage ambayo mtoto anaanza kunyonya kidole.
mf mtoto anaanza kunyonya akiwa anamiezi mitatu, ni pale ambapo mama yake anaanza kwenda kazini/shughuli uwezo wa kunyonya mara kwa mara haupo.. Yapasa apate chakula kwa wakati bila kupoteza muda.
na yule wa miezi...
Kuna kijarida classmate wangu kapewa na Dr hapa India juu ya macho na mambo mengine , labda nawe yaweza saidia.
Nacopy
1.Fill water in the cup, dip eye and blink for 100 times, Repeat this process in the next eye.
2.Cotton pads dipped in cold milk placed on the closed eyes for 15minutes...
Hilo lawezekana pia kwani kama hawatengenezi mazingira mazuri ya waalimu, na wanafunzi ni siasa ndio chanzo,
Kwani kama nchi lazima iliangalie sana swala la elimu.
Kuna mashrooms za academy ambazo sijui ni watanzania wangapi wanaafford, not that na shule zetu za kayumba hata hapa bongo tu watoto...
asante kwa swali zuri,
Nimekuwa nikisaidia wanafunzi lakini ni via mwalimu anayefanya kazi huko umasaini Arusha,
Changamoto nayoiona ni kuwa watakiwa kupata mtu mwaminifu, kwani hawa wanafunzi wengine shida yao sio malazi watalala kwao shida ni ada, ada za mitihani, na vifaa. Pia some sight ya...
Swali je ni television mpokeaji anaweza kurefer later?
kwani andishi, atachukua kitabu atarefer.
Sijui kiswahili kabisa ila ningeweza kuvisualize na kujibu.
Tafakari.
Kwa kweli hii ni changamoto kwa wazazi wa kibongo,
Mimi kama mzazi ambaye sio mwalimu nimekuwa nikistrugle sana katika kufundisha wanangu,(Age 8,5,3) Not only that self initative kwa hawa wenzetu wazungu ndio inanifurahisha.
Waalimu/Wazazi wezangu hebu tupeni mbinu tuwasaidieaje watoto kuwa self...
Nini maana ya skill of work kwenye ufundundishaji?
Hili ni jambo ambalo mtu alinibeza pale nilipokuwa nampa changamoto ambazo napata katika kufundisha wanangu.
Waalimu saidieni hapa tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.