Search results

  1. jompyain

    Naomba ushauri wenu

    Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana msiwe peku, baada ya muda wa miaka miine sambamba munaamua kwenda kupima kama mpo swafi ili mfanye...
  2. jompyain

    Je huu ni ustarabu au ushenz......?

    Unampa lift mtu kwa gari yako na ndani ya gari redio inapiga mziki mororow akishaingia ndani ya gari unamuona anatoa simu yake, kisha anawasha redio ya sumu yake, nasimu ni mchina, nyingi sauti zake zipo juu, je utamshusha au utazima redio ya gari yako msikilize redio ya ndani, ya simu yake?
  3. jompyain

    Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

    Kwani alilalaje kama kweli mlikua mast na on the bad ungezingua kinyumenyume. mwenyewe angegeuza.
  4. jompyain

    Naomba kueleweshwa nini neno uswahila.

    mimi ni mswahili pia nadhani hata wewe ni mswahili kwani unapata haja kubwa na ndogo kama mie.
  5. jompyain

    Huu ndiyo umuhimu wa kuoa/kuolewa

    Ndoa kama ndoa nitamu kushinda asali ukiipangilia pia ndoa shubiri, hasa unapotongozwa kimasihara naukakaribishwa home siku moj tu wewe ukaja na guo yakubadili uliambiwa unalala? ukiambiwa ngojea nikuletee buits wewe unasema acha tu mie nitapika, hapo lazima ndoa iwe ndoana.lini umezoea mpaka...
  6. jompyain

    Naomba kueleweshwa nini neno uswahila.

    Utamkuta mtu anagobana na mwenzake ua anasimulia habari za mgomvi wake utasikia akisema mie sio mswahili aniachie mambo yake ya mazese ya huko uswahilini ukimtazama huyo anaetoa maneno hayo mwaeusi wa rangi yeye mpaka roho yake je uswahili wa mwenzake ni umasikini au ........
  7. jompyain

    Kitu Perfume. . . .

    Huyu naona anashindwa kutofautisha mie mtazamo wangu ni jasho la jamaa japo yeye anadai perfume.. mtu na mpenzi wake hukaririana hali ya hewa zao,kwahiyo akitokea mwingine sio rahisi kuridhiwa kwani hiyo perfume.. ni ileile.
  8. jompyain

    Je ugovi wa mume na mke ndani ya nyumba unasababisha kutokutoaa matumizi?

    Kwakua waume wakigombana na wakeze ndani ya nyumba inakuaje?mume anakua hatoe matumizi ya ndani ugovi unasababisha tusile?
  9. jompyain

    Mpenzi endelea tu kununa, nimeamua kumsaidia dada yangu!

    Huyo yaonekuna hana aibu wala subra sasa basi dalili ya mvua mawingu, hakufai huyo leo dada kesho atakua mama naulishauhaidi kumpeleka shopping siitakua noma.
  10. jompyain

    Naomba ushauri jamani nivumilie au nisepe?

    Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado mwake mwake sasa naogopa leo hivi akishanizoea nikiwa mke siitakua pilipili mti gani wakuinamaina.
  11. jompyain

    Mitindo ya unapofanya majambozi huwa nimafunzo au bidii ya mtuu mwenyewe?

    Uwe malaya kivipi? /mumeo hasa akiwa pale
  12. jompyain

    Mitindo ya unapofanya majambozi huwa nimafunzo au bidii ya mtuu mwenyewe?

    Nasikia wababa wakisema aaaa huyo hamuna kitu hana mtindo wowote akilala kama mzigo. Na mwingine utasikia akisifia kua huyo mama au dada achana nae, akikupa kichuma boga hutoki au akikaa mkao wa umakeyika hata uweke sindano haigusi anaelea kama mtwumbwi, na mavituzi yanaendelea.
  13. jompyain

    Kama wewe utafanyaje....????

    Mie ningejaribu kutuma sms kwake kama nami pia machat na mwingine zaidi yake ageiona na kusituka hapo ndipo mambo yagekua hazarani.
  14. jompyain

    Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

    Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
  15. jompyain

    Wanawake mtatuua kwa kibondo....kha!

    Kupigwa kwa wanaume mie nafiki kwa sana kwani wengi wao ni majeuri na wanamaji gambo sababu tu ni wamaume hawajui kua pia wapo wanawake wenyenguvu kuzidi wao nazungungumza na kiongozi wa Kenya atuazime hao wamama waje tanzania siku tatu tu wanaumw wote wa tz watashika adabu hasa wale wenye...
  16. jompyain

    I want to marry My Mother

    Tukumbuke wamama watoto wetu watapooa sidhani kama wakwe tutawapenda kwa tabia hii baadhi yetu wanaoifanya yakugawa mavituzzzzzzzzzzzz, kama njuguu hata kwa watoto
  17. jompyain

    I want to marry My Mother

    Mie nazani kalikua kamuchezo ka siri lakini kalikuja kakafichuka . baada ya utamu kukolea , lakiniiiiiiiiiii
  18. jompyain

    Kuolewa na kuachwa kwa wazazi wako hiyo nayo ni ndoa ?

    Naomba kufahamishwa, kuwaninii ?waume wengine waoapo wake wanawaacha kwa wakwe au kwa wazazi wake mke?
  19. jompyain

    Nikweli?

    Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
  20. jompyain

    Utamu wa penzi la mume wa mtu.

    mie bado lakini naona watu wanavyo gada/
Back
Top Bottom