Search results

  1. I

    CCM kufanya mkutano Jangwani kujibu mapigo

    Baada ya M/kiti wa chama chao kurudisha mswada wa katiba bungeni CCMASEMBE wameahirisha hadi mtakapoarifiwa, My be hela za Sembe na Tusker hazijalipwa. Nawakilisha! Source Radio 1
  2. I

    Kinana ana jipya lipi kwa wanatarime hasa watu wa nyamongo

    Leo ni SIKU YA TEMBO DUNIANI! Kinana kaa mbali na Tusker, ndovu!
  3. I

    RC Arusha Aponea Tundu la Sindano!

    Mulongo hajui kutofautisha Chuga na Bwagamoyo, na bado tutamvizia na kumpa kichapo mpaka atajuta
  4. I

    Korogwe bado imelala hawajui maana ya mageuzi

    Wana jamvi, Naomba kuwaeleza kwamba wilaya ya korogwe jinsi ilivyo hasa kimageuzi, kwanza stasheni za radio hapa ni TBC na redio mmoja ya huko muheza hakuna station nyingine halafu upande wa tv ni tbc tu, hivi kweli unategemea hawa watu wawe na mwamko wa mabadiliko kweli, najuta kuhamishiwa...
  5. I

    Dodoso za sensa zatolewa copy Manyara

    Wanajamvi madodoso ya sensa huku manyara yamekwisha kiasi kwamba yametolewa copy ili kazi iendelee, my doubt ni kwamba hizi dodoso zinakwenda kwa serial number sasa kama ikitolewa copy kama 1000 inamaana serial number inajirudia mara 1000, are we serious with this task. Nawakilisha
  6. I

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Nape is the biggest Gmba of which you are just forced to talk on behalf of the gambazz, rudi shule naona IQ yako ina run to negative, R chuga msitegemee hata mumlete JK agombeee. <br>PEEEEOPLESSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
  7. I

    Kanuni ya CCM iliyommaliza SUMARI

    Magamba ndo yanaanza, we sikilizia mpasuko sasa hivi
Back
Top Bottom