Search results

  1. Frei

    Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma katika Utendaji

    Kama ni hayo ya kutaka haki ya upande mmoja ni tatizo haki ni pande zote. Basi na U professa kwa wenye akili ndogo waseme amepewa na Serikali. Kesi ya Mpendazoe hakuna askari aliefika kutestify mbele ya mahakama kuwa aliona masanduku wala kumuona Makongoro akiwa amekamatwa. Uongo, someni...
  2. Frei

    Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma katika Utendaji

    Jamani kwani haki iko upande mmoja tu, mie nafikili hata kushindwa ni haki pia. Mbona Lema alishinda hakukuwa na kelele? Acheni uchochezi, haki ni kwa pande zote sio upande mwingine ukishinda basi umebebwa. Acheni kupandikiza chuki za ajabu. Majaji wa Mahakama ya Rufaa ni Majaji makini...
  3. Frei

    Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

    Huyu Jamaa alieanzisha hii topic ana chuki binafsi tu na wala hazitamsaidia.....Atoe hoja zenye kuelimisha si hizi za kufuatilia maisha ya watu.....Hata kama ingekuwa majina yanapelekwa bungeni Jaji Juma angetoka kidedea ni Makini sana Jaji huyu na kiwango chake cha maamuzi ya haki ni cha hali...
  4. Frei

    Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

    Who is Mpendazoe jamani? Huyu Jaji ni Makini, kesi ya Mpendazoe mmeisoma? Ushahidi ule hata wakili wake alishindwa apeleke vipi kesi Mahakama ya rufaa. Ulijaa hearsay evidence na uzushi. Eti Makongoro alikamatwa na masanduku ya kura na kufikishwa kituo cha polisi buguruni. Mkuu wa kituo...
  5. Frei

    Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

    Who is Mpendazoe jamani? Huyu Jaji ni Makini, kesi ya Mpendazoe mmeisoma? Ushahidi ule hata wakili wake alishindwa apeleke vipi kesi Mahakama ya rufaa. Ulijaa hearsay evidence na uzushi. Eti Makongoro alikamatwa na masanduku ya kura na kufikishwa kituo cha polisi buguruni. Mkuu wa kituo akaja wa...
  6. Frei

    Jaji aliyetoa Hukumu kesi ya Mpendazoe amekuwa Jaji wa Rufaa

    Acheni hayo nchi haijengwi kwa majungu, huyu Jaji ana uwezo mkubwa na ni Proffessor, kwani kikwete kampa U proffessor? Kuhusu Ridhwani hakufeli mnaongea sana bila kuwa na ushahidi. Tukae chini tujenge nchi, maneno ya ajabu tuache. Kuhusu kesi ya Mpendazoe mmesoma hukumu? au mnaongea tu? Wakili...
  7. Frei

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    In UK it has been Legalized and fixed to the defence of necessity. Once you are in a bad position to raise up ya child you might be allowed to abort. They say its fine to do a lesser evil of aborting instead of committing a greater evil to raise up a child bila matunzo hahahaha.
  8. Frei

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Hana grounds za Rufaa. Hukumu imeshiba.
  9. Frei

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Ndo maana anaitwa Prof. Kafanya mengi makubwa na ya maana, someni hukumu acheni blabla jamani. Anafaa hata kupendekezwa Mahakama ya kimataifa.
  10. Frei

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Ni bora kuisoma kuliko kusema bila kuisoma....Kesi ya Mpendazoe imeharibiwa na wakili wake. Hakuonesha ni vipi Mahanga alikamatwa na maboksi, hakukuwa na taarifa ya polisi. Gazeti halikutaja jina wala chama. Vielelzo kama video na picha havikuwakilishwa mahakamani. Jamani Jaji atabeba mbeleko...
  11. Frei

    Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?

    Someni hukumu acheni umbumbu wa maneno tu.
  12. Frei

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mbona ni jambo la kawaida ndani ya nchi hii swala la ukabila kazini????????? ANGALIA IDARA YA MAHAKAMA....MAHAKIMU WAFAWIDHI NI WAHAYA NA WACHAGGA PIA UONGOZI WA JUU WAHAYA KIBAO.....WASAJILI NA HATA MA ACCOUNTANTS, MAMBO YA AJABU SANA TUACHE HAYA TUFUATE SIFA NA UWAJIBIKAJI......
  13. Frei

    Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    Haina haja ya kuwaambia polisi....hao wanashirikiana nao....juzi kati hapa lija maa limemtapeli dada flani tena lilisema litakuja toka south africa kwa email....then dada akaenda kulipokea airport likidai limeshuka na ndege na kutumia namba za tanzania....likamwambia limeleta mzigo wa kumpa...
  14. Frei

    Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    Jamani balaa hili vyombo vya usalama havioni?????
  15. Frei

    Maisha ya Kibongo

    Hivi inakuwaje Wahindi wanakaa nyumba za NHC kariakoo na Posta.....Juu wanaishi chini wana biashara......haiwacost hata mafuta kwenda kazini kama watanzania wengi.....ndo maana wikiendi unawaona wahindi kwenye mabeach na sehem za starehe maana hawana hasara kutumia wikiendi ikiwa wabongo...
  16. Frei

    Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

    Mbona wanapigika tu na vijisababu vyao? Tena vocha hata ya elfu 2000 kwao ni kubwa....hawahitaji kupangishwa nyumba wala nini wako hostel....they are very cheap you can manage to deal with even ten of them....jipange tu...
  17. Frei

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kwani Mbowe Freeman ndo anaweza irudisha katika hali ipi nchi hii.....hamna kitui pale maslah tu biashara zimemshinda....
  18. Frei

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kwani we ndo umeona leo.....hamna kitu pale kichwa cheupe kile
Back
Top Bottom