Search results

  1. M

    wanaume muwape penzi la kutosha wake zenu

    ha ha ha ha jizevie kwa raha zako
  2. M

    Kumbe rangi nayo muhimu?

    hivi why kila siku ni kuongelea wanawake tu. hebu tuongelee wanaume basi, mwenye kifua kipana na muscles na asiye kua nayo, mwenye ndevu, ha ha ha mmezidi kutudiscuss ala
  3. M

    Ushauri unahitajika kwenye hili, Hasa from Married Man/Women

    acha utoto kijana.tatizo siku hizi hamuendi jando
  4. M

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    yani unashindwa ona wazi kwamba mkeo na shoga yako wako pamoja. mkeo ana mtu wake tena nadhani kakuchoka. hebu kuna kichwa kidogo utaelewa mpango mzima
  5. M

    Wanaumeee

    napita mie
  6. M

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    POLE SANA. Yani situation yako ni kama yangu kwa kiasi kikubwa. tofauti ni kwamba mumeo anatembea na makahaba. wangu sijui ndo karogwa na hawara tena mke wa mtu, wacha nimtaje tu anaitwa rehema mfugale yupo peackok hotel. yani huyu dada sijui ni pepo ama vipi maana imefikia hatua ya kunipigia...
  7. M

    Huku ni kumuenzi Nyrere

    Kila nikiangali tv nakutana mijadala mbalimbali inahusu Mwalim Nyerere walio ndani ya madaraka na nje ya madaraka wanalalamika, mwalimu haenziwi, hivi ni nani wa kumuenzi jamani ,mimi naona hao waliopo madarakani namaanisha wanasiasa ndiyo muhimili wasibaki wanalalamika.Rushwa wao ndiyo...
Back
Top Bottom