Search results

  1. Asabaya

    Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Hana lake jambo, mbele kauza nyumaa kaweka rehani, kabaki mdomo tuu Na angekua vijijini Basi angekua Mwanga , Au DG wao, manake ku kichaaa anawaaduwiaa wenzie hasbiallah ...Kama Hana aombe sio kufisidii Wenzie....
  2. Asabaya

    Kwanini wanaume wengi siku hizi hawapendi kuoa…………?

    Kama shida yako ni glass ya maziwa yanini ujipe asara yakufuga Cow?
  3. Asabaya

    Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

    Hata Mimi nilisikia wakampigia Yule cm from redio station akasema ndio Na siwachii ataka akae Na Kama Mume hataki aondokee ..kuna watu wana roho za jiwe sanaaa...
  4. Asabaya

    Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Huyu mwanamke kiyasi yamkute, anawananga wenzie sana nakutukana Mpaka familia zao, alimtukana Mdada sijui anaitwa Nani akasema ni HIV Positive Na sijui changu ilimradii kashfaa tele, Sasa yamemkutaa atangaze Na Yake Kama yeye mbea...
  5. Asabaya

    Nimechoka na maswali haya ya wadada

    Lounge gani huyo Na iko wapi? Mwenzio sijashikaa mitaa...
  6. Asabaya

    Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

    Ana moyo huyu Mdada , maiti anavyotisha wewe ukamuogeshe mm sidhani Kama kweli...
  7. Asabaya

    Uhusiano wa hela mfukoni na "poor erection"

    Hao viumbe ni stress free kabisaaaaa, ndio mana wananenepa Mpaka rangi ya Ngozi inakua ...
  8. Asabaya

    Mwanamke wa Dar

    usiwaoneee donge warembo wa Dar...
  9. Asabaya

    CEO wa FastJet afukuzwa kazi, kampuni hatarini kuishiwa fedha

    Haina maana shirika hili hata kidogo, ukichelewa kutoka Kwenye international Flt wanakwambiaa Tkt imeishaa nunua mpya, walinitoza tkt6 upyaa na Kwa bei ya juu kisa Flt yetu ya international ili chelewa, na wakatutoza pesa ya mizigo Yani nilisema naiweee basiii...wafunge hata kesho poa tuuu...
  10. Asabaya

    Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Vibaya na wewe pia una ndugu , na kumbuka sio wote wana mambo machafu Kama haya , na huyo mfanyakazi na yeye pia Ana moyo jamani ...
  11. Asabaya

    The English of President Magufuli of Tanzania

    Kiingereza Magufuli sio lugha Yake .. Muhimu kazi anaifanyaa inavyo takiwaa mengine mbwembwe tuu
  12. Asabaya

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    Tatizo nyotaaaaa⭐️....
  13. Asabaya

    Mama anataka kuolewa na mwanaye wa kumzaa

    Mwenyezi mungu atunusuru na laaana hiyo...
  14. Asabaya

    Msaada: Mke wangu amepunguza kunipa dozi toka amejifungua

    Ahaha, pole nadhani anahitaji ukaenae akueleze tatizo lake huenda wewe unataka lakini humfikishi au unafanyaa sivyo...
  15. Asabaya

    Cheo kipi ni kikubwa kati ya Balozi na Director General

    Binadamu binadamu binadamu ...
  16. Asabaya

    Dada katisha

    Chezea pesa inayopatikana Kwa Tabu ...
Back
Top Bottom