Search results

  1. M

    Naomba ushauri

    I really hate this kind of writting, inaonyesha wazi kuwa bado kinda sana. Huu uandishi ni wa kitoto, hata ukiwa na shida wadau wanashindwa kukusaidia immediately just because of your writting style. Halafu kuna wale wanaoandika herufi X pale inapotakiwa kutumika S kama xaxa (sasa), xana (sana)...
  2. M

    Tukumbushane 'vibao' vilivyovuma Afrika enzi zileee

    Umenikumbusha mbaaaaali kweli hadi chozi limenitoka kukumbuka kuwa now im getting old for sure. Dah asante sana, you kinda made my day.
  3. M

    Nifundisheni Jinsi ya ku-Hack email Adress

    Wakuu nina mpenzi ambaye natarajia kumuoa mwishoni mwa mwaka huu Mungu akipenda. Hata hivyo kuna vijimambo vyake sijavielewa kabisa nahisi kama nadanganywa vile (kiswahili lugha maskini sana, ninamaanisha she might be cheating on me) kwani kuna siku niliwahi kumnasa kwenye computer akisoma email...
  4. M

    Kenya: Wanaume waandaa mgomo

    Unakula kichapo zaidi mpaka itakapokubali ku abase!
  5. M

    Kazi kazi Jamani hizi hapa

    Duh thanks maana wengi tupo juani sasa hivi.
  6. M

    Muokoeni mama yangu

    Nimepata hasira mpaka nakosa uwezo wa kufikiri ngoja nipoe kwanza, poleni sana kwa mliyopitia, story yako inatufundisha vitu kadhaa katika maisha. Pole bro
Back
Top Bottom