Search results

  1. M

    Naibu Spika Job Ndugai amtoa nje Mbunge wa CCM kwa siku tatu

    Hawana lolote hawa magamba wanajikosha tu!!!!!!
  2. M

    BAKWATA v/s CHADEMA ilikuwa Igunga, sasa BAKWATA v/s MAT

    Siku nyingine wakijipendekeza kwa madaktari kuwa wanataka kusuluhisha ni kuwatoa mkuku tu!!! Nani aombe samahani?!!!! Ov##yooo!!!!!!!
  3. M

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    ONGEZA; Karume mkubwa na Mdogo zanzibar, Nnauye Sr, Nnauye Junior, Mwinyi Senior na Mwinyi Jr, JK na Riz1, JK na Hawa Ghasia, List inaendelea...........
  4. M

    Jibu maarufu la Serikali bungeni

    Mh Liss.... NAKUHESHIMU SANA Ohhhooo!!!!
  5. M

    Barua ya wazi kwa Raisi...Wangu J.k Kikwete Ngangari! Msikivu

    Unamshauri kaka wa LIWALO NA LIWE?! Hao washapinda ni SIKIO la kufa!! Utaumia moyo bure!!!!
  6. M

    Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

    ili Document iwe valid sahihi ya mtoa document iwepo! Sasa mbona hakuna signature? Hizo ni propaganda tu hakuna bodi iliyokaa wala nini! SOLIDARITY FOREVER Drs!!! Hakuna mtu kurudi hiyo J3!
  7. M

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    Naam Specialists! Tupo pamoja sana!!! No retreat, No surrender!!!
  8. M

    Dk Chitega: Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima kusitisha huduma

    Yeye ni mwenzetu so far tutamtibu! Tunakuwepo maeneo ya Hospitali na kumtibu staff mwenzetu yeyote au hata tusipokuwepo tunapigiwa simu na kutokea maeneo hayo!
  9. M

    Bungeni Live: June 28, 2012

    Together we are strongest!!!!
  10. M

    Madaktari wote waliogoma kufukuzwa kazi na utumishi!

    Ukwaju nakujua vizuri ndugu yangu sasa tunakusubiri upatwe na tatizo uje kwetu !! Vipi kile kikombe cha babu kilikusaidia?
  11. M

    Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

    Haya watz wote wakiumwa wanaenda huko au ndo WALANCHI wenye BILIONI 300 Uswizi? Ama kweli mwenye nacho huongezwa!!!!!! Chenge alilijua hili ndo maana kale kKABILIONI 1 kule Visiwa vya Jersey ni VIJISENTI!!!
  12. M

    Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

    Hadi hapo mavumba yatakapoingia benki na vifaa kumwagwa mahospitalini ndo tunarudi kazini kwani tumechoka na ahadi zisizotekelezwa na muda waliopewa unatosha! LIWALO NA LIWE!!!!!!!
  13. M

    PINDA: The judge, the jury and the prosecutor!

    Serikali Dhaifu na Upuuzi wa CCM !!! Mwache tu aiingizie serikali hasara ya mabilioni pale madaktari watakapomgalagaza mahakamani akijaribu kuwafukuza!!!
  14. M

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Ukweli unauma eh!! Pole kwa hasira ila jaribu kuangalia points!! We are GREAT THINKERS REMEMBER THAT!!!
  15. M

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Kwa malipo gani serikali inayoyalipa? Siku wakiamua hilo basi wahakikishe ma Dr wanalipwa kama Kenya au South Africa na si huu utumbo wanaolipwa sasa!!!
  16. M

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Hadi leo unamtegemea JK? Mwl huwezi kujilinganisha na Dr hata siku moja! Miaka ya tisini wakati ninasoma hapa Dar sekondari moja ya serikali walimu walikuwa na mgomo baridi tokea nikiwa form 1 hadi 3 walimu walioingia darasa letu inawezekana kabisa havikupita vipindi 20 lakini form 4 nilifaulu...
  17. M

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Hizo sekta zina uwezo huo? Daktari ana alama gani hadi wewe umtambue? Na daktari akija uko kazini ukagoma kumhudumia anakupeleka polisi vizuri tu!
  18. M

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Kama Msekwa angekujibu basi angekuambia kuwa una wivu wa Ki^Ke!!! wao wana haki kudai stahili yao!! Umefanya utafiti madaktari wa kenya ua hata Rwanda wanalipwaje? Hoja yako ni DHAIFU kama CCM!!!!
  19. M

    Madaktari wakataa mrejesho toka kwa rais Kikwete na wawakilishi wa madaktari; Mgomo unanukia!

    Kwa mujibu ya madaktari hao serikali imekataa kuongeza chochote kwenye mshahara wa madaktari hao ila watapandishiwa nyongeza yao sawa na wafanyakazi wengine wote! pia posho za mazingira hatarishi au mazingira magumu hawatapewa! Nadhani JK hana upendo na Watz kwani mgomo unanukia baada ya wiki 2
  20. M

    Nape: Wapinzani ni failures!

    Sasa mbona alishinda ubunge? Magamba kweli ni sikio la kufa!!!!!
Back
Top Bottom