Search results

  1. M

    Mazungumzo kati ya serikali na madaktari yavunjika, tarehe 3 march hiyooooo...

    Ndugu wana jamii! Sitaki kuamini kuwa serikali imefanya kosa katika kuwaita kada nyingine, tatizo ni tafsiri ya neno daktari. Kiserikali, kutokana na matatizo ya huko nyuma, neno daktari linamaana ya kada zote za afya kutokana na mfumo udaktari uliopo wizara ya afya, ambapo hata kada zingine...
  2. M

    Wanawake wapigwa na kudhalilishwa, watishiwa kuuwawa na wamiliki wa yard ya kuvuta magari jijini

    Hapo kwenye bold umekosea sana, unazani anajali????? kwani nani alikuambia sasa ivi tanzania tuna serikali??? tuna washehereshaji tu. Kama huyo rahisi wako hakujali vifo vya watu kutokana na mgomo wa madaktari kwa zaidi ya wiki tatu, sembuse huyo mwanamke kunyanyaswa kijinsia? nothing will...
  3. M

    Jamani Oilcom ni wezi! wezi! wezi wa mafuta kabisa

    nazani unathibitisha kile ambacho mimi nilikuwa najiuliza kwenye kituo hicho cha manzese, kila nilipokuwa nikiweka mafuta kituo hicho kama ni sh 20,000 au 30,000 mafuta hayo hayakai sana kama nikiweka mafuta kwa kiasi hichohicho vituo kama gapco cha victoria au BP. Niliazimia baadaye kutokuweka...
Back
Top Bottom