Search results

  1. K

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    mwenyewe umejitahidi kuandika nimesoma hakuna la maana hapa
  2. K

    House Girl anahitajika

    mtoto wa miaka 15? Nyie ndio watesaji wakati unajua fika ni umri wa kuwa shule halafu oh naheshimu wapiga kura
  3. K

    Mwigulu na propanganda za ccm makanisani

    mada kama hii hakuna hata cha kujadili
  4. K

    Hatimae Sabodo achangia harusi.

    hivyo visima sabodo anachimba wapi? Maana vihele hele wangekuwa tayari wameshaleta picha na mahala vinapochimbwa
  5. K

    Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

    mijitu mingine kazi kushadadia mapenzi ya wenzao wakati yao yapo icu
  6. K

    CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

    kwani uongo? unazani pesa za maandamano wanazopewa toka uk ni bure? Kwani umeshasikia wamekanusha?
  7. K

    Jaman natafuta field mwenzenu...

    dogo jiajiri mwenyewe mbona mnapenda sana mteremko
  8. K

    House Girl anahitajika

    miaka 15 unataka umfanyaje?
  9. K

    Diwani wa CHADEMA ashusha bendera ya CCM na kupandisha ya Taifa

    anatafuta cheap popularity hana lolote huyo eti na yeye atokee kwa gazeti na tv
  10. K

    Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    my take mleta mada hakuwa na jambo la maana la kuandika hapa alitaka nayeye aonekane ameanzisha mada
  11. K

    Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

    na ndio maana hata hoja zake huwa zimekaa ki certificate,certificate tu
  12. K

    Chanel Ten waonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM kuhusu tuiko la kijiji cha Ndago, Singida

    thread zingine? Wewe mtu huna hata idea ya uandishi wa habari lakini kubwabwaja wa mbele
  13. K

    Bilioni 8 zatengewa viongozi wastaafu akiwemo Lowassa, wakati hospitalli zatengewa bilioni 5 tu

    kuna umuhimu gani wa kumtaja lowassa hapa kwanini hujamtaja warioba au sumaye?
  14. K

    William Mhando vs Idrissa Rashid

    halafu ukishajua hayo ndio iweje? Au unataka nawewe uonekane umeanzisha thread?
  15. K

    Kitilya wa TRA kupelekwa TANESCO ?

    hivi kuna mahali wanatoa degree ya umbeya na kukurupuka?
  16. K

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    baadala ya kusali watu wazima mnakalia umbeya na sifa sifa tu muonekane mpo updated
  17. K

    Ujenzi wa barabara Arusha nani apewe sifa?

    dodoma mjini barabara zote zinajengwa mwanza pia
  18. K

    DR. Slaa alifanya uamuzi wa busara, Rose Kamili anajuta

    mijitu mingine sijui ipo practical ya journalism? Picha za padri na rose kibao tumeziona mahojiano pia afu watafuta sifa uonekane unamjua?
  19. K

    Kama field ndo hivi ajira je?

    cdm wanatoa nyingi mbona? Hasa Kuratibu maandamano
  20. K

    Kuna mkono wa CCM kwenye kesi ya Slaa? Angalia picha hii!

    ni wanawake lazima wateteane kupinga ufisadi wa mapenzi
Back
Top Bottom