Search results

  1. N

    jamani kwanini udom

    wewe ndo peke yako haukuitwa wengine tuna miaka miwili sasa kazini.
  2. N

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    i hate this,hakuna siku iliuharibu mwaka wangu kama siku wanachangia hawa mabedui wakati upinzani wakiwa nje. i hate them kutoka moyoni mwangu.
  3. N

    Hivi udom ni chuo au high level school

    i thought kuna hoja ya msingi sana nilopoanza kusoma thread hii kabla ya kuifungua yote. but i came to realize kuna watu uwezo wao wa ku analyze mambo na kutoa judgement ni mdogo sana. huyu kama ni msomi wa chuo kikuu basi nchi hii ina safari ndefu sana.
  4. N

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    nashangaa sana aina ya hoja zinazotolewa kwenye hili jukwaa na watu wengine. hizi ni hoja ambazo sitegemei zitolewe na msomi wa chuo kikuu ambae anategemewa apate knowledge then a-transform knowledge alioipata kuleta mabadiliko kwa watanzania walio wengi. napata shaka sana na utashi wa mtu wa...
  5. N

    orodha ya watu waliosoma udsm na sifa zao

    ningetarajia jukwaa hili litumike kwa usahihi kwa kujadili mada zinazohusu ukosoaji,uboreshaji na uendelezaji wa mfumo mzima wa elimu yetu ya tanzania,lakini watu wamekuwa wakitoa mada za kitoto za u wa kwanza darasani. Tubadilike.
  6. N

    B.com in finance udom

    ckulaumu mdogo wangu kwa kuuliza maswali kama unaenda kujoin form five,kitu ccha msingi ni kuanza ku-strugle tangu day 1 coz overall performance yako iatakuwa ni average ya performance ya kila semester. kwenye soko la ajira kitu cha kwanza kumvutia mwajiri akuite kwenye interview ni performance...
  7. N

    UDOM Bado sana wakuu!!!! Hebu soma hii discussion facebook.

    dogo leonard robert shule inakusumbua sana ndo mana huna data, una changamoto nyingi sana ulizo nazo mbele yako, komaa na shule kwanza huku kunaweza kukulostisha.
  8. N

    Waziri ananitaka kimapenzi

    Pumbavu......! kama huna hoja ya msingi kaa kimya. issue zako za kutaka kugongwa zinatuhusu nn cc wana jf, thats yo private lyf, acha ushamba.
  9. N

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    hta akifika mirembe apelekwe ICU kwani anadiriki kudai vikao vya bunge ni siku 9 tu na ambazo wabunge hulipwa. Anataka kusema nini kuhusu bunge la budget ambalo wabunge hukaa dodoma karibia miezi3? sio mvuto tu hata uwezo hana.
  10. N

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    Mkapa ameingia madarakani akimpokea yakhe mfumuko wa bei ulikuwa takribani 23%, ilipotimu 2000 ulikuwa 4% na figure hii iliendelea hadi alipoachia madaraka 2005. Baada ya ****** kuingia umepanda kwa kac ya ajabu, february hii 19.3% sijui 2014 tutakuwa wapi. huyu jamaa anaedai mkapa aliingia kwa...
  11. N

    UDOM Bado sana wakuu!!!! Hebu soma hii discussion facebook.

    sikatai kwamba Udom hakuna changamoto kama ilivyo kwa institution yoyote tz, ila natilia sana shaka utashi na uwezo wa comparative analysis wa wachangiaji wengi wakiwepo wadau wa udom wanaokiponda chuo chao. kwa upande wa afya mtoto mdogo yupo katika hatari kubwa ya kushambuliwa na magonjwa...
  12. N

    Kozi ya it imekuwa yeboyebo bongo sijui itakuwaje kwa miaka 5 ijayo kwenye ajira

    hata US wanasheria ni wengi kupita kiasi na wanaendelea kusoma ni wengi pia. ila kinachowatofautisha ni competence na ndio kitu cha msingi kwenye soko la ajira sasa kama ww ni kilaza au hujishughulishi katika fani yako tegemea maumuvu.
Back
Top Bottom