Search results

  1. M

    Who "Played" Nyerere?

    Mwinyi ndiye aliyekuwa tayari kuiuza nchi vipande vipande akigawia waislam wenzake. Alianza na Loliondo,ambako waarabu wanapeperusha bendera yao kama mkoa wa nchi yao. Mzimu unaolitesa taifa hadi kesho kutwa, kisha akaligawa bonde la rufiji kwa wa Iran. Mkapa akaja na 10% commission government...
  2. M

    Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Acha wawemo humo. Bw.Yesu alisema "Acha magugu na ngano yakue pamoja, hata atakapokuja mwenye shamba atakuja kuwang'oa".
  3. M

    Wakili wa Henry Kileo na Joyce Kiria wafunguka

    Mwuigullu (Savimbi), Wassira,Nape nauye (a son without legitimate father) and their Satanic deeds. Mwigulu ninyi mnamwomba mungu yupi? Jamii forums wanamtaja Bwana wa Majeshi-Jehova.
  4. M

    Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    Povu la nini? Mbona mnatoka povu sana...Subiri wakati ufaao kisiasa kuwaumbua.
  5. M

    Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    Autoe ampe nani? akupe wewe? na kama akikupatia utaufanyia nini?
  6. M

    Kikwete na Taifa Linalotengeneza Misiba

    Kikwete ni rais anayeongoza kuhudhuria misiba ya viongozi na wasanii, hatumwoni kwenye misiba ya waandishi wa habari na madaktari. Hili la Mtwara ni janga la kitaifa yeye kama mkuu wa nchi tunatarajia akomeshe mauaji haya ya uonevu na dhuruma kwa wananchi wake. Hajafanya hivyo, kutokana na...
  7. M

    Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Hadi kufikia saa hii (3:00 pm) kuna taarifa kwamba ofisiza CCM (maeneo ya Mdenganamadi na Majengo) zimechomwa moto; askari wanne wameuawa pamoja na wananchi kadhaa. Wananchi wanatumia baruti za kulipulia samaki kuwalipua majengo na askari.Hatari iliyopo ni kuchomwa kwa jengo la ofisi za mkuu wa...
  8. M

    Serikali Sikivu ya CCM Inapoteza Kuaminika Kila Kikao cha Bunge Tangu Makinda awe Spika

    Tangu Bunge lianze vikao vyake chini ya Spika Anne Makinda a.k.a. Bi. Kiroboto serikali ya ccm imekuwa ikipoteza kuaminika mbele ya umma. Mosi, kutokana na uendeshaji ukilinganisha na wakati ule wa Mzee wa Speed and Standard,kwa mfano kupindisha kanuni na sheria za uendesheji vikao vya bunge...
  9. M

    Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Chonde chonde, natafuta website ya gazeti la Jamhuri.Siipati. Nisaidieni...chonde chonde jamani. Nataka kuiona habari nzima bila chenga wala kwi kwi!
  10. M

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    We nani? Umei-record tokea wapi?Umei-copy toka kwenye hansard?
  11. M

    Bakhresa achangia bajeti $800k

    Huyu ana lake jambo, si bure. Hakuna kitu cha bure wakati wowote. Anaandaa ujio wa masultani toka Oman ambao tuliwavurusha huko Zanzibar 1964. SSB anatumia mlango wa nyuma kutawala nchi.Tusione ajabu ikulu siku moja kuwa chini ya rais mwarabu (kama ilivyo kule Loliondo). Naitahadharisha...
  12. M

    Hali ya Mtwara mchana huu

    Hakuna uchochezi hapa. Kizazi cha sasa si kile cha "ndiyo mwalimu, ndiyo mwalimu!". Kwa maana nyingine,"Kizazi hiki hakimjui Yusufu(Waziri mkuu wa Farao). Hawa wa leo, hawajui TAA, Hawajui TANU, wala Mwl. Nyerere" hiki ni kizazi kipya cha rika lile lile la vijana wanamageuzi wa Tunisia, Libya...
  13. M

    Kinana Hana pa Kuponea Kaanza Tangu Siku Nyingi.

    Tuhuma za meli za Kinana kujihusisha na maliasili zetu umeanza kitambo. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010, ndugu Kinana alishutumiwa kwamba meli zake zimetumika kusafirisha magogo toka Tanzania kwenda China na Hongkong.Tuhuma hizi hazikujibiwa na wahusika. Mwaka huu tena, meli za...
  14. M

    Utata wa Michango ya Wabunge wa CCM Kuchanganya Mada Bungeni

    Kuna tabia au mwenendo unaoleta utata wakati wabunge wanapochangiapo mada, makadilio, au miswada ya serikali inayowasilishwa bungeni. Utaona mbunge anapochangia hoja anaanza na kauli " Naunga Mkono Hoja" au atamalizia kwa kauli hiyo huku akionesha kutokubaliana kwa kiasi kikubwa kwa maelezo yake...
  15. M

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Watu wengi wanawaza kuwa yamkini EL angefaa kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Kwa upande wangu naona na ninaamini hivi, Edward Lowassa hafai kabisa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwa sababu:- Tuhuma dhidi yake kuwa ni fisadi mkubwa kwenye sakata la Richmond na hatimaye...
  16. M

    Amini, usiamini: Mingi ya Miili Inayookotwa Fukweni mwa Bahari na Maziwa Hutokea katika Mahabusu

    Unaweza usiamini hilo ni shauri lako; ila ujue kwamba miili mingi ya marehemu wasiojulikana wanaookotwa katika fukwe za bahari Dar es Salaam hutokea katika vyumba vya mateso vya polisi na Usalama. Na kuna uwezekano mkubwa mno katika miaka hii miwili kelekea uchaguzi mkuu miili kadhaa ikaonekana...
  17. M

    Kesi ya Rwekatare polisi yakwaa kisiki; mahakama yachefuliwa na mwenendo wa kesi?

    Kwani Lwakatare ni muislam hadi awe gaidi? Hivi hofu iko vissible,hata uka mu-analyze?
  18. M

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Kwani Lwakatare ni muislam hadi awe gaidi?
  19. M

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Kwa mujibu wa nchi ya Marekani na zile za ulaya na urusi huwezi kutofautisha Uislam na Ugaidi. Ni kitu kimoja hicho.Al-qaida, Al-Shabab, Boko Haramu ni waislam waliobobea. Na hao ndiyo wenye kuchinja watu mbele ya TV kama vile wanachinja kuku. Kisha visu hivyo hivyo huchinjia wanyama wa kuliwa...
  20. M

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Vipi deal la viungo vya albino huko CCM? Yale makafara ya uzamishaji meli hayana nguvu nini? Maana mmetoa order mpya kuuwa na kuchukua viungo vya albino kwa kasi kuelekea 2015.Na meno, vidole na kucha za waandishi havijatosha kuuzima moto wa upinzani dhidi ya serikali ya ccm? Hivi CCM inataka...
Back
Top Bottom