Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

    Ambatanisha na sampuli za barua hizo, msije kuwa mmejiandikia au wakasema mmejiandikia. Mbona tumeshashuhudia barua zikighushiwa na kusambazwa mitandaoni na baadae ofisi husika kuuzikana!
  2. M

    Wabunge wamchoka Mbunge Kiruswa kwa kugongea lifti

    Mhifadhi wa wanyamapori Dr. Kiruswa!!! Kutoka kufanya kazi za kiuhifadhi AWF kuja kwenye siasa najua umepotea njia na nia yako 2020 ni kurudi kwenye kuendeleza uhifadhi, siasa si mahali pako. Nenda kwa Prof. Banyikwa, Prof. Kapuya na Dr. Mlingwa watakupa somo namna gani unavyopotea, wao wana...
  3. M

    Rais Magufuli Akichagua Nyama Ya Porini Wakati Akiendelea Na Ziara Mkoani Katavi

    Kuchoma nyama pori katika Hifadhi ya Taifa hoja kuu si uchomaji, ni je imewindwa huko huko hifadhini? Kwa mujibu wa sheria ya hifadhi za taifa, hakuna uwindaji ndani ya hifadhi za taifa, uwindaji unafanyika katika mapori ya akiba. Ila kwa raisi kuna kibali maalumu (prresidential permit) hapo...
  4. M

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Nadhani katika kesi zinazomkabili je? Wadhamini wake itakuwaje, wajuzi wa sheria hebu mtujuze vyema hapo. Wazamini inawezekana kujivua udhamini na mahakama ikatoa amri ya mtuhumiwa kukamatwa au wadhamini watang'ang'aniwa kwa kushirikiana na mtuhumiwa kukwepa mahakama?
  5. M

    RC Paul Makonda aijia juu TAMISEMI, atishia kuandaa maandamano mpaka Wizarani

    Ukisikia kudharau mamlaka ya Waziri ndio huku. Eti huku hakuna wanayemjua zaidi ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu; na nyumba bovu linamwangukia Mkuu wa Mkoa. Kwa kauli hii Makonda kadharau mamlaka ya Waziri wa TAMISEMI. Tena kaenda mbali zaidi, '....mwambie bosi wako, naibu waziri na waziri...
  6. M

    Maendeleo hayana chama; Rais Magufuli amjibu vibaya mwananchi aliyeelezea tatizo la maji jimbo la Momba(CHADEMA)

    Kuna nyaya zimelegea huyu, mara nyingine huwa kama akili zimemruka vile! Ipo siku mtatangaziwa mtu kaamkia ICU kwa maradhi sugu ya kichwa
  7. M

    Fact Checking: Madai kuwa Dr. Mwele alipewa kazi UN wiki moja baada ya kutumbuliwa siyo ya kweli. Je, aliyemzushia amuombe msamaha?

    La hovyo kupata kutokea!! Liongo, linapenda sifa na liko radhi kufanya lolote baya kwa asiyemsifia
  8. M

    Pundamilia wa tofauti mwenye madoa, aliyezaliwa mbuga ya Maasai Mara, Kenya ahamia mbunga ya Serengeti, Tanzania

    Fursa ya kiutafiti hii kwenye masuala ya genetics kujiridhisha ni jambo hili la nadra, pia kwa twiga weupe ambao wameonekana baadhi ya maeneo. Kiuhasilia sio kahamia Tanzania bali yuko kwenye mzunguko wa uhamaji jambo ambalo ni la la kawaida, na bado yupo ndani ya Serengeti-Masai Mara ecosystem...
  9. M

    Tundu Lissu aingia mkataba na kampuni ya Kimataifa kulinda haki zake

    Umesema jambo la akili sana. Ni wakati wa Lissu kupambana na maisha yake kwa kutumia akili yake aliyojaliwa na mwenyezi Mungu, siasa si lazima kwake, let him take professional line and get busy with consultancy works, writing books, etc., it will pay for him and put him in recognition and respect.
  10. M

    Ripoti Nyeti ya Stiegler’s Gorge Yazinduliwa, Yapangua Hoja Potofu Za UNESCO, WWF Kuhusu Uamuzi wa Rais Dk. Magufuli

    Salehe Pamba anatafuta gear za kupata nafasi ya kugombea ubunge Pangani, hana jipya. Akiwa Wizara ya Maliasili na Utalii mbona alikuwa anakubaliana na tafiti za UNESCO na WWF tena akienda huko kuomba utekelezaji wa miradi mbalimbali? Shame on you Pamba, na kweli ubongo wako pamba tupu!!!!
  11. M

    TBC: Wamasai na Wahadzabe ni kivutio cha Watalii?

    Kweli Utamaduni ni utalii. Ila kuna kaukakasi fulani huwa napata pale binadamu anapotumika moja kwa moja kama kivutio cha utalii. Yapasa tuende kwa upana wa utamaduni na sio watu. Wakati binadamu wengine wakisonga mbele kimaendeleo kuwachukua wenzetu kama mateka kwa mgongo wa utalii inanipa...
  12. M

    Kigwangalla na hatma ya jamii ya kimasai washio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    We unaona ni utoto sasa subiri uone kinachoenda kutendeka wakati wa kuligawa bonde la NCA, kama hakutakuwa na huo ukanda wa wamaasai!!!
  13. M

    Eneo la bahari la Tanganyika(Tanzania bara) ni lipi?

    Hivi Abedi Karume asili yake wapi? Na wale akina Mwakanyuki? Rulers of Zanzibar are from far way. Wenyeji wa visiwani labda kasa na pomboo (and i mean it).
  14. M

    Kigwangalla na hatma ya jamii ya kimasai washio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    Ni ukweli usiopingika kuwa idadi ya wamasai inazidi kuongezeka katika NCA, na la pili haki ya kujipatia maendeleo ni ya msingi kwa wamasai. Uwepo wa makazi ya asili ya kimasai na kuendelea kusisitiza waishi kijadi (eti tunadumisha mila) ni sawa na kudumaza maendeleo ya jamii ya kimasai na hilo...
  15. M

    Ufafanuzi : Kwanini ndege nyingi za abiria hazina seat Na. 13 ?

    Ni imani iliyojengeka katika jamii nyingi duniani kuwa namba 13 na 17 ni namba zisizo za bahati. The number 13 is not the only unlucky number for some cultures, and airlines have responded to that too. Lufthansa, which is based in Germany, does not have a 13th or 17th row. "The reason is that...
  16. M

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Barabara na ubovu wa gari ndio tatizo, mwedo wa gari sio tatizo. Kiuhalisia mabasi mengi ya safari za mikoani ubovu wa magari si tatizo na tukumbuke yanakaguliwa. Kusafiri km 800 kwa masaa 12 ni kurudi enzi za ujima, tuende na tekinolojia, tuboreshe barabara zetu na kuondoa mambo ya matuta...
  17. M

    Top 20 Richest Countries In Africa – IMF & World Bank Latest Data

    Umeliweka vizuri kwa kiasi chake. Ila bado tukumbuke hata hiyo GDP per capital wako waliowengi ambao watakuwa chini yake. Tuende mbali zaidi kujua ni asilia ngapi ya watanzania wanafikia hiyo GDP per capital maana wengine pato lao kwa mwaka ni huzuni na kuendelea kuwaambia pato la taifa limekua...
  18. M

    Top 20 Richest Countries In Africa – IMF & World Bank Latest Data

    Pato la taifa/GDP ni akisi ambayo kiukweli hainyeshi hali halisi ya maisha na kwa mwananchi wa kawaida haimpi umaana wowote. Pato la taifa linaweza kuwa kubwa lakini asilimia kubwa ya pato hilo ikiwa mikononi mwa wachache. Jaribu kutafakari asilimia kubwa ya watanzania wanaishi vijijini na...
  19. M

    Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    Lawama zitabebwa na Kigwangala na timu yake walioratibu utengenezaji wa hiyo sanamu. Walitakiwa kuikagua na kujiridhisha kwa kina ufanano wa sanamu na Mwl. J.K.Nyerere kabla ya kuionyesha hadharani. Makosa dhahiri kama hayo yaliyoonekana yangelazimu kutoikabidhi hadi irekebishwe na wajiridhishe...
Back
Top Bottom