Hapana, sijawahi kuwa na mtu nnayeona kuwa role model kwangu, mimi huwa najiona mimi kivyanguvyangu kitofauti. Nachoongelea ni uhalisia tu, vipi na wewe ni kati ya wale wanaoita asali mavi ya nyuki ili walaji waone kinyaa?!
role model mpaka kwenye sex orientation?!! (labda kama unataka kuwa muigizaji wa porn) role model kwenye kazi au shughuli anazofanya, mambo yake ya chumbani ni yake binafsi, awe shoga, punga, bwabwa, msagaji, straight, hasimamishi, hayo ni yake!
Salamu zenu wakuu,
Niko kizani kwa takribani wiki sasa bila access ya JF, ni topic gani ilikuwa kali zaidi wiki hii katika jukwaa hili?
Nimeingia hapa najiona mgeni vile, loh! miss neddy haujakalisha mtu mwingine kwenye kile kiti chako cha moto?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.